Akil zako zmejaa mav tupuAcheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Abdul na Rostam azizi wapo chini ya sheria ganiRais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
Mbona mahakamani amewagaragaza! Hata sasa mnamshikilia gerezani kwa kosa gani? Mbona hizi hoja zenu zote mlizotumia kumshtaki mlishindwa kuzitetea kule mahakamani, ili mumtie hatiani?Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Safari hii kakaa na Kibudu Kalamaganda kuelezwa hayo ya sheria , haki n.k., lakini bado haelewi chochote katika hayo aliyoelezwa; kwa hiyo uwasilishaji wake ndio huo sasa unaoonekana hapa kama makande yaliyochanganywa na utumbo wa samaki na vichwa vya dagaa wa Kigoma.Huyu hakuwa chaguo sahihi kwa nchi yetu. Baadhi ya mambo anayo yaongelea hata haieleweki anako yatoa
Hivi kupima hakuna mtu aliye juu ya Sheria kunapimwaje.
Lissu alisema "tutakinukisha" akafunguliwa kesi ya uhaini. Mwaipopo na wenzake wamesema watakata watu vichwa wapo uraiani. Hapo kuwa juu ya Sheria unakupimaje?
Lissu ndio aliua watu? Wacha uongo.LISSU alichosema kimekuwa watu wamekufa 500+
Tuje kwa Shekhe Mwaipopo wamekufa wangapi wamechinjwa wangapi???
Akili zimemezwa na PEPO chafu la chuki 👈
Huyu mama muda mwingine bora anyamaze maana akiongea anazidi kuharibu.
Lissu ndio aliua watu? Wacha uongo.
Yaani mtu akae ndani miezi mitano kabla uchaguzi, na bado chama chake kimezuiwa kufanya siasi watu wamtii? Kama waliweza kumtii kwa muda wote huo, basi ndio anayekubalika na wananchi, na nyie mko madarakani kwa mabavu.Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Ukisikia kupatwa kwa uongozi, ndo huku.
Giza totoro
Na nyie hamkutaka uchaguzi uzuiwe ili mkae madarakani kwa kupika idadi ya kura.Azimio lake Lissu ndio chanzo cha vijana kutaka kuzuiya Uchaguzi!!
No Reform No Election✍️
Kauli ilitoka kwenye mdomo mkubwa wa Lissu👈
Tukumbuke pia ule mdomo ndio chanzo cha Ulemavu wake 👈
Vijana wenye kumfata alichosema wakataka kutafsiri kivitendo kwa kuzuiya Uchaguzi✍️
Nenda wewe kamshauri sasa acha kubweka kama jibwa koko.Mwanamke ni Mwanamke tu! Hawezi kujizuia kuropoka!/kama anasuta vile!
Hana hata mshauri mmoja wa mambo ya diplomasia!
siyo yeye masikini hajachagua mwandishi mzuri wa hotuba kiongoziMwanamke ni Mwanamke tu! Hawezi kujizuia kuropoka!/kama anasuta vile!
Hana hata mshauri mmoja wa mambo ya diplomasia!
Wewe nenda kaoshe **** lako ilo linatoa harufu.Huyu mama muda mwingine bora anyamaze maana akiongea anazidi kuharibu.
Chizi anaekukaza usiku na mchana hadi ukapiga kelele MBWA wewe. Nenda ukakazwe na HECHENayeye hayuko juu ya sheria?, chizi huyu.