Hao wengi wanaowapenda viongozi na CCM Samia anawaogopa; kiasi kwamba hakuamini kama wangeweza kumpigia kura ya yeye kubaki madarakani bila ya kufanya sarakasi zote zilizofanyika kumbakisha madarakani kwa nguvu.Kwanini na Wananchi wenye kuipenda Serikali yao na CCM wapo wengi!!!👇👇
Ninyi watu wajinga wajinga, msiwe mnapenda kuropoka mambo msio na ufahamu nayo.Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
hakuna "namna bora" ya kuishi na mwovu, ndiyo maana kuna jela na hata kunyongwa kuwaondoa kwenye jamii.Until further notice.
Kwa sasa hawa waovu, wauaji na wafiraji ndio tupo nao, lazima tujifunze namna bora ya kuishi nao.
Utekaji, utesaji, ufiraji, wizi wa chaguzi, kupoteza watu, mauaji aliyofanya 29/09 aliyafanya chini ya sheria gani?
Sijajua wewe ni muumini wa dini ganihakuna "namna bora" ya kuishi na mwovu, ndiyo maana kuna jela na hata kunyongwa kuwaondoa kwenye jamii.
Mkuu 'BORN', unanishangaza sana kama hadi sasa hujui mimi ni mtu wa aina gani, bila kujali hizo hadithi za vitabuni unazosimulia wewe.ameongozana na mke wake sarah, kwa kuwa alitambua nia ovu za wenyeji wake ikiabidi wasuke mpango yeye na mkewe utakaowafanya wasiingie matatizoni, japo baadaye siri yao ilifichuka lakini stori yao inatufundisha kuishi kulingana na mazingira
MkuuMkuu 'BORN', unanishangaza sana kama hadi sasa hujui mimi ni mtu wa aina gani, bila kujali hizo hadithi za vitabuni unazosimulia wewe.
Mimi ninaishi maisha ya sasa, hapa Tanzania, nchi ninayoipenda kuliko hizo hadithi za vitabuni, ambazo nina hakika ukitaka kunipotezea muda nitakueleza wazi kwamba hata zenyewe hazitetei hayo unayojaribu kuwauzia watu hapa.
Bottomline yangu katika hayo maswala ya imani ni hii: hakuna Mungu hata mmoja atakayependa binaadam (soma waTanzania), halafu apinge juhudi zao za kutaka kujiondoa kwenye uovu.
Sasa kama bado hunielewi, wewe utakuwa unatafuta tu kunipotezea muda wangu na hizi stori ndefu ndefu zisizokuwa na maana yoyote katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayotukabili.
Watu wa aina yako ndio anaowapenda sana Samia; kwa sababu mnamhakikishia atimize malengo yake yote.Mkuu
Umewahi kuusikia msemo husemao
Ukitaka kumchinja kobe unamlia timing.
Mimi sikatai kwamba regime iliyopo imejaa wahuni na wauaji, sasa wewe mwananchi wa kawaida ukiwa kwenye upande wa jembe lazima uwe makini katika ku deal hao wahuni walioshika mpini, ukifanya fujo utaishia kujikata, hence point yangu ya kusema tutafute namna nzuri ya kuenenda nao wakati unaangalia namna nzuri ya kuwamaliza.
SawaWatu wa aina yako ndio anaowapenda sana Samia; kwa sababu mnamhakikishia atimize malengo yake yote.
Kiufupi ni kwamba napata shida sana, lakini inanibidi niseme kwamba unamfanyia kazi Samia, pengine bila ya utashi wako.
Tumalizane hapa: Wewe fanya hayo yako, lakini tafadhali usitafute kuwakatisha tamaa waTanzania, hata kama hilo siyo lengo lako.
Ukweli wa kwenye mstari wa kura ulikataa. Hicho kizazi cha kuhada na nyomi za kuokoteza kilishapita. Mtatoka madarakani tu hata kwa umwagaji mkubwa wa damu. Lakini mkitoka wote mtaozea jela. Ni vyema mkaachia nchi kwa amani, kuliko mwage damu zaidi.Kwanini na Wananchi wenye kuipenda Serikali yao na CCM wapo wengi!!!👇👇
Nasema hivi, nyie ndio wanacdm wa project ccm. Ndio nyie mnaohongwa na ccm kuichafua cdm. Yaani cdm wakiwa na operation zake hamuungi mkono, lakini cdm ikishambuliwa mnakuwa sehemu ya kumsupport adui! Ndio nyie mnaoitisha press sasa kuichafua cdm. Wenzako walienda Chauma, ukabaki umalizie kazi mliyolipwa na ccm.Sawa
Naheshimu mawazo yako.Nasema hivi, nyie ndio wanacdm wa project ccm. Ndio nyie mnaohongwa na ccm kuichafua cdm. Yaani cdm wakiwa na operation zake hamuungi mkono, lakini cdm ikishambuliwa mnakuwa sehemu ya kumsupport adui! Ndio nyie mnaoitisha press sasa kuichafua cdm. Wenzako walienda Chauma, ukabaki umalizie kazi mliyolipwa na ccm.
Daah yaani kama ni ujinga kapitiliza,
Na unaambiwa kasoma PhD! Nasema kila siku kuwa kuna majitu hata self conscience hayana
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
Uzuri dunia imeamua kuingilia kati. Sababu kinachofanyika sasa ni kitendo cha uonevu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.Ingekuwa kweli usemacho angekuwa huru lkn yupo lupango bado anaendelea kula na kwenda chooni kwa hisani ya RAIS wake✍️
Sijawahi kubadilika, ukipenda unaweza kusema nilikuwa vipi wakati wa Mbowe, na sasa Niko vipi? Nasisitiza, ww ndio wanacdm mnaotumiwa kuichafua cdm kwa maslahi yenu binafsi. Sina shaka na nisemacho.Naheshimu mawazo yako.
Ila katika kujenga hoja zako jitahidi uwe objective. Hiyo itakuepusha kuandika comment zako kwa hisia zaidi badala ya facts.
Natamani uwe Tindo yule ambaye alikuwa wakati ule Mbowe akiwa bado mwenyekiti wa Chadema.
Ile picha aliyoona juzi pale Mlimani City ndiyo asilimia kubwa sana ya watanzania wanavyomchukia kwa sasa. Hata ile nyomi ya watu anayoona kwenye mikutano ya Chadema wale wote siyo wanachadema bali ni umma unaomchukia yeye na chama chake wakiwepo na wanaccm. Kama kuna watu wanampenda ni chawa wasiojitambua na wale ambao ni wanufaika wa moja kwa moja wa mfumo na ni njaa tu inayowaongoza kumkubali. Samia anachukiwa mno kuliko watangulizi wake wote.Uzuri dunia imeamua kuingilia kati. Sababu kinachofanyika sasa ni kitendo cha uonevu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Na kutokana na huu uonevu wenu mnaoufanya dhidi ya raia wasio na hatia, mwambieni Rais wenu asimtafute mchawi wa ongezeko la chuki dhidi yenu! Sababu kuu ni huu uonevu na dhuluma zenu dhidi ya raia.
Sio tu kusuta na vitisho ndani yake kwani imani kuwa mitutu ya policcm ipo!Mwanamke ni Mwanamke tu! Hawezi kujizuia kuropoka!/kama anasuta vile!
Hana hata mshauri mmoja wa mambo ya diplomasia!
SawaSijawahi kubadilika, ukipenda unaweza kusema nilikuwa vipi wakati wa Mbowe, na sasa Niko vipi? Nasisitiza, ww ndio wanacdm mnaotumiwa kuichafua cdm kwa maslahi yenu binafsi. Sina shaka na nisemacho.