Hivi ndiyo hawa waliopiga marufuku mikutano ya hadhara baada ya kushtushwa na ile nyomi inayojitokeza huku ikiwa haijapalekwa kwenye hiyo mikutano kwa kutumia malori ya polisi!Ile picha aliyoona juzi pale Mlimani City ndiyo asilimia kubwa sana ya watanzania wanavyomchukia kwa sasa. Hata ile nyomi ya watu anayoona kwenye mikutano ya Chadema wale wote siyo wanachadema bali ni umma unaomchukia yeye na chama chake wakiwepo na wanaccm. Kama kuna watu wanampenda ni chawa wasiojitambua na wale ambao ni wanufaika wa moja kwa moja wa mfumo na ni njaa tu inayowaongoza kumkubali. Samia anachukiwa mno kuliko watangulizi wake wote.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
After that speech, she had became a laughing stock in front of the audience.Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
Sasa uchaguzi alisema atauvurugaje na uasi gani alisema atahamasisha?Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Sheria ya vyama vya siasa kwani inasemaje?Hivi mnasoma Katiba hipi? Someni sheria za vyama vya siasa... Hii ni nchi nasio kichaka aisee
Mbaya zaidi hajawahi kukemea hivi vitendo viovu zaidi ya kuviunga mkono. Alimwambia Museveni wananchi wanaodai haki tuwapige mikwaju, aliowaua 29/10/25 aliwalaumu wazazi wao.Kwa kweli, kila anapoongea anazidi kudhihirisha mapungufu yake! Watu wanatekwa na kuuawa, halafu yeye anasema nchi ina misingi ya haki!! Kweli ni mzima huyu?
Hao wengi wanaowapenda viongozi na CCM Samia anawaogopa; kiasi kwamba hakuamini kama wangeweza kumpigia kura ya yeye kubaki madarakani bila ya kufanya sarakasi zote zilizofanyika kumbakisha madarakani kwa nguvu.
Najuwa wewe huna jibu, lakini Samia anajuwa jibu.
Wakapelekwa wapi hao 500+ maana mpka leo ndugu zao hawajaona hata miili yao ?LISSU alichosema kimekuwa watu wamekufa 500+
Tuje kwa Shekhe Mwaipopo wamekufa wangapi wamechinjwa wangapi???
Akili zimemezwa na PEPO chafu la chuki 👈
Niweke kumbukumbu za mtu aliyelewa kilevi kinachojulikana?Sina jibu kwakuwa ww umedanganywa kwamba labda Chadema ingeshiliki ingeshinda Uchaguzi 🤠🤠🤠
tatizo nyinyi taarifa zenu za Kichadema tu inawafanya hamjui ukweli wa nguvu ya CCM
weka kumbukumbu CCM ipo sana tu miaka 60 ijayo 🤣
Usidanganywe na mtu yeyote, waTanzania huko vijijini uelewa wanao sana, ndiyo maana hata Samia kushindana na Luhaga Mpina tu ilionekana itakuwa shida; hata kama kura zingeibiwa.Ni kweli mkuu, uelewa wa wengi wetu bado changamoto hasa vijijini, wanaamini kile wanachoambiwa kama kilivyo, exposure hakuna kwa wengi wetu.
Limama hili ni janga kwa kweli kwetu.
Sasa mimi na wewe nani mjinga aisee.Tatizo mihemko na mapenzi yasiyo na tija au ushabiki ndiyo unaziba faham zako. Kauli za Lissu zipo wazi.. namnukuu. Tutavuruga uchaguzi,tutaamasisha uasi na tutakinukisha.Je watatuua? Hapana watakachoweza watatufunga basi.. Na mimi nautaka urais mjue.Mwisho wa kunukuu..endelea na tilalira.Ninyi watu wajinga wajinga, msiwe mnapenda kuropoka mambo msio na ufahamu nayo.
Lisu alisema kuwa kama hakuna marekebisho ya sheria, hakuna uchaguzi. Na akasema kuwa kama hawatafanya marekebisho, CHADEMA haitashiriki, badala yake watu waandamane kupinga huo uchaguzi bandia. Lisu mwenye akasema kuwa baada ya hiyo kauli yake, hao wasiopenda wakasema kuwa kufanya maandamano kwa lengo la kuzuia uchaguzi itakuwa ni uasi, na Lisu akawaambia kuwa, ni kweli ni uasi, ni uasi dhidi ya sheria mbovu za kuwanyang'anya haki wananchi ya kuwachagua viongpzi kwa kuwatengenezea shetia na kanuni za kukinda uchaguzi bandia.
Kama una akili timamu, hivi uasi dhidi ya uovu, ni kosa?
Katuga yupo imara ndiyo maana Lissu bado mpaka sasa yupo lumpango..Sema cha kumsaidia Lissu kwasasa ni kumpatia mwanasaiklojia maana ata wewe unaona asivyo sawaUngeenda kumsaidia wakili Katuga kuthibitisha hayo mahakamani, vinginevyo ni porojo za Mwaipopo....
Kama walioua watu october 29, hadi leo zaidi ya miezi 6 hawajakamatwa sasa wanatofauti gani na walioko juu ya sheriaRais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
Wala sio ugomvi binafsi,alitegemea iwe business as usual kama Mwenyekiti wa CDM aliyepita. Huyu kakaza!. Hapo ndio mtiti ulipo!huyo na Tundu Lisu inaelekea kabisa kwamba wana ugomvi binafsi, kwa maana kuna kila dalili ya kukomeshana ...
Takataka ikiropoka takataka kuhutubia takataka ,pumbavu SanaRais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
Ulitegemea aseme nchi imejaa maovu?. Walianza na spinning inawalazimu kuendelea kufanya spinning ili angalau kusogeza siku!Kwa kweli, kila anapoongea anazidi kudhihirisha mapungufu yake! Watu wanatekwa na kuuawa, halafu yeye anasema nchi ina misingi ya haki!! Kweli ni mzima huyu?
We ni mseng€ , falaAzimio lake Lissu ndio chanzo cha vijana kutaka kuzuiya Uchaguzi!!
No Reform No Election✍️
Kauli ilitoka kwenye mdomo mkubwa wa Lissu👈
Tukumbuke pia ule mdomo ndio chanzo cha Ulemavu wake 👈
Vijana wenye kumfata alichosema wakataka kutafsiri kivitendo kwa kuzuiya Uchaguzi✍️