digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu kaa karibu na wanasaikolojia ,at any time you gonna hang yourself.!!Yeye kama fisadi mkuu anaondoka lini?[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2110180
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kaa karibu na wanasaikolojia ,at any time you gonna hang yourself.!!Yeye kama fisadi mkuu anaondoka lini?[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2110180
Ifike mahali viongozi ngazi wilaya wote watokane uchaguzi wa wananchi ili wakiboronga wanachi wawajibishe. Haya mambo teuzi yamejaa fitna, kujipendekeza, ubabe, upendeleo na upambe. Kuna hitaji la katiba bora na sio bora katiba.Wakurugenzi wangetokea halmashauri husika
Makabidhiano ya V8 siyo mchezo mchezo kama mnavyofikiri,Sangoma wanachekelea msimu wa mavuno!Wiki chungu hii
Kivipi?Sema itavunja umoja wa kiCCM,mbona wakati ule walipokuwa wakitesa kwa zamu hamkusema huo ukabila?Itavunja umoja wa kitaifa na kuleta ukabila
Wanaoenda kuhang themselves ni Watanzania baada ya Rais wao kuhamasisha ufisadi waziwazi bila hata aibu wala soni usoni tena kupitia TV ya Taifa🐒🐒🐒Mkuu kaa karibu na wanasaikolojia ,at any time you gonna hang yourself.!!
wajipime, sio wanakulaaaa mpaka kuvimbiwa. Yeye anakula kwa kamba yake anajipimia pareeefu sababu ya urefu wa kamba yakeYeye kama fisadi mkuu anaondoka lini?🐒🐒🐒
View attachment 2110180
Nimejibu kulingana na swali. Wewe umeniuliza ambacho sijakijibuKivipi?Sema itavunja umoja wa kiCCM,mbona wakati ule walipokuwa wakitesa kwa zamu hamkusema huo ukabila?
Nafasi za kiutendaji kama DEDs zingekuwa za kuomba kazi kwa kuzingatia weledi na siyo siasa uchwara za ukada.
Ameiba nn?Yeye kama fisadi mkuu anaondoka lini?[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2110180
Umeangalia hiyo video?Huoni hapo akihamasisha ufisadi kwenye Serikali?Ameiba nn?
Kalumanzira yeye ale wapi? Kutamka kwake wanaojijua ni under performers watajipa saa za fungulia mbwa.Bora angefanyia kazi kimya kimya maana kuanzia hapo wataanza kupishana kwa kalumanzira!
Na vingi viko likizo ya uzazi.Anaenda vizuri, itakuwa wale watoto aliowapa kazi ameshaona hawaimudu, vile visichana vidogo aliambiwa havitamudu hayo majukumu akawa mgumu kuelewa.
Kwa siasa zetu hizi za kinafiki hata mtu mwenye digrii 8, huwezi kumtofautisha na std 7 b!!elimu kwetu sio hoja, jpm aliingia na staili ya kuteua ma prof, walimsaidia nini?si kila siku alikuwa anawatimua tu!!Wengine elimu zao za kuungaunga tu form four failures Eti anakuwa kiongozi wa watu kwa ngazi ya Wilaya au Halmashauri na kuendelea [emoji848][emoji848]
Hata uwezo wa kujenga, kujadili au kupangua hoja hana.
Uwezo wa kuongea mbele za watu hawanaga!
Kinachosukuma kufanya lobbying ni njaa na wala siyo uwezo wa kufanya kazi yenye kuleta matokeo dhahiri yenye tija.
Ndo mana tunataka katiba mpyaNi wakati muafaka sasa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji, na Majiji waanze kupatikana kwa kuomba nafasi hizo. Watume barua za maombi na kushindanishwa ili wapatikane watu wenye uwezo na weledi hasa.
Jicho langu linaona wateuliwa wakiwa wanajiandaa kumvamia waziri ili awapigie deki cv zao,Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio (probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.
Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale watakaotumbuliwa wakaungane na wale wengine wanne waliotumbuliwa juzi.
Chanzo: TBC