The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sukuma gang.ππPolitics at its best. Wananchi tumewakataa.
Wapi kamtaja marehemu?Hawezi rekebisha lolote bila kuhusisha serikali ya marehemu. Au marehemu alikuwa malaika asiyekosea?
Mbona unajistukia,wapi kamtaja marehemu? ππ..Bibi hana sera wala ushawishi amekaa kugombana na marehemu
Kwann unataka kulazimisha kuwa JPM hakujua? inawezekana JPM ndo alihadaa kwa manufaa ya kisiasa.Na wewe unaamini huu uongo ? ,CEO wa shirika la umma akope zaidi ya 1 billion aliweka Nini huko Bank Kama dhamana, na Jiwe asijue ? Na Kama kweli walikopa while shirika linapata loss pesa ya kulipa ilitoka wapi
Ni hii ina ukweli kwa sehemu kubwa kwa sababu yule alikuwa mpenda sifa..Ndio, inawezekana pia walikopa kwa maagizo yake kwa sababu za kisiasa.
Yale magawio hata wakati ule yalikuwa na walakini. Hata Samia asingesema leo mtu mwenye uelewa aliona kabisa kuna kitu mashirika yanafanya kufanikisha hili gawio na si faida.Ni hii ina ukweli kwa sehemu kubwa kwa sababu yule alikuwa mpenda sifa..
Amepora pesa kwenye mashirika eti yanaleta gawio from where?
Unauliza sasa..!!. "ATCL" ilikuwa inapost faida wakati mkaguzi anaonyesha hasara...Records ziko wapi? Unaweza tu kukopa hela Central bank bila ya records zozote mahali na jinsi ya kuzirudisha? Na kama ni kweli kwamba walikuwa wanakopa ktk central Bank ili kumfurahisha Magufuli, je raisi Magufuli angeweza kutoligundua/kuambiwa hilo? I mean, huyo mtu sijui tu kwa kweli kwa maana dah!
Narudia kukwambia sio kila mtu ni mjinga kama wewe..Inawezekanaje shirika la umma likope pesa ndefu kiasi kile harafu serikali kuu isijue!!!
Mmhh! jamani more than billion ikopwe na shirika serikali isijue ina maana wakati huo gavana alikuwa hatoe taarifa kwa raisi kuhusu hali ya mikopo ilivyo?
Yawezekana sarakasi zilikuwepo nyingi wakati huo lakini hii mbona kama inagoma kuwa sarakasi!
Mbona hili ni raisi sana. Si unakopa kwa uwekezaji halafu unakuja kutoa kama gawio. Makaratasi yanaonyesha umefanya uwekezaji ila wewe unatoa gawio. Ukitaka kujua kua kuna something wrong tafuta mashirika sample yaliyotoa gawio halafu angalia trend ya ratios from 2015-2020 ukilinganisha na 2010-2015 halafu upime ni nn kimesababisha uwezekano wa kutoa gawio Utagundua kitu.Inawezekanaje shirika la umma likope pesa ndefu kiasi kile harafu serikali kuu isijue!!!
Mmhh! jamani more than billion ikopwe na shirika serikali isijue ina maana wakati huo gavana alikuwa hatoe taarifa kwa raisi kuhusu hali ya mikopo ilivyo?
Yawezekana sarakasi zilikuwepo nyingi wakati huo lakini hii mbona kama inagoma kuwa sarakasi!
CEO wengi Tanzania walifilisi kampuni za serikali kwa kuwa hawakuwa na weledi wa biashara wengi wako walikuwa appointed kwa kujuana. Hivyo JPM aliwapa changamoto sana.Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya
Source ITV
======
βNajua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu ilikuwa ni lazima mashirika yatoe dividends (gawio) na kwa sababu yalikuwa haya- perform wengi wenu mlikuwa mnaingia mabenki huko mkakopa, mkaingia wapi huko... mkakopa ilimradi unalinda kibarua chako,β
βUnapeleka check tarehe fulani... check hii hapa shirika limechangia lakini kumbe uzalishaji ni zero, kwa hiyo muende mkasimamie mashirika yazalishe,β
View attachment 2311657
Asiyekuwepo atasingiziwa kila kinachoonekana ni ahueni kwa waliopo.
Gawio ni kama umepata faidaInamaana hawastahili kutoa gawio kwa SERIKALI?
huu utaratibu wa gawio umeanzishwa lini na kwa Nini waliuanzisha wakijua they won't make it kufanya return?
Ni ukweli.This is very serious allegation kwa kweli.
Anyway, hili nalo mkaliangalie huko.
Aliwaambia wapeleke gawio, kama hawawezi wajiondoe wenyeweMagufuli alikuwa mkurupukaji sana
Yule jamaa alikuwa muoga, muongo, katiri hivyo alikuwa hapewi taarifa sahihiRecords ziko wapi? Unaweza tu kukopa hela Central bank bila ya records zozote mahali na jinsi ya kuzirudisha? Na kama ni kweli kwamba walikuwa wanakopa ktk central Bank ili kumfurahisha Magufuli, je raisi Magufuli angeweza kutoligundua/kuambiwa hilo? I mean, huyo mtu sijui tu kwa kweli kwa maana dah!
Mlitaka mfanye biashara bila faidaKwani TTCL ni lini imepata faida na mbona ilikuwa inatoa gawio kwa mabilioni ya shilingi?
Hujaambiwa ni mashirika yote ndiyo yalikuwa yanafanya hivyo.
Mimi nilikuwa nikifanya kazi shirika fulani na kipindi hicho tuliambiwa tupeleke kiasi fulani, baadae tuliambiwa tuongeze hicho kiwango.
Mkuu wajinga viongozi wa Mashirika au Maguful, Magufuli yeye alikuwa anataka gawio tu maana kawapa mitaji wa kurugenzi wa mishirikaUnakopa 5 bilioni unatoa gawio, mwakani unakopa tena 6 bilioni unalipa gawio ....
Ili kuonesha shirika linafanya vizuri mwaka unaofuata unaofuata unakopa tena 7 unatoa gawio [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Bora yeye alibana mashirika yatoweo gawio, kuliko kubana wananchi watoe gawio la tozoHii haimsafishi mama na mfumuko wa bei,
Mkuu, mpaka kufikia hii posti yako, hakuna aliyekumbuka kuhusu CAG.Halafu zinalipwaje? Report za CAG hazikuona hilo? Tena Assad!!