Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

Uliza importers acha maneno mengi

..serikali ndio inayotakiwa kututaarifu wananchi, na sio wananchi kuulizana wenyewe kwa wenyewe.

..hili jambo kinapaswa kuwekwa kwa uwazi zaidi. Watanzania wajulishwe kwa kina kwasababu bandari ni Mali yao.

..Kuna mambo mawili. Dp world inaweza kuwa ni muarubaini wa matatizo ya bandari ya Dsm. Pia inaweza isiwe muarubaini.

..Tukiwa wazazi, tukapeana taarifa sahihi, tutaweza kufanya maamuzi yenye tija kwa bandari yetu.
 
Utachelewa sana Kila kitu kusubiria taarifa rasmi,baada Kusini mkataba kifuatacho ni kazi.

Handover ndio ilifanyika majizi ila.kazi iloanza Toka mwaka Jana
 
Njia ya mwongo ni fupi. Magufuli naye alikuwa anatudanganya mengi. Alipotoka, ukweli ukajulikana. Huyu naye siku akitoka ndiyo utajua nchi imeliwa na mengi anayojisifu nayo ni uongo!
 
Njia ya mwongo ni fupi. Magufuli naye alikuwa anatudanganya mengi. Alipotoka, ukweli ukajulikana. Huyu naye siku akitoka ndiyo utajua nchi imeliwa na mengi anayojisifu nayo ni uongo!
Uongo gani tofauti na mnayoongea?

Anajisifia uongo upi? Huoni matokeo ya kazi zake au una shida zingine?
 

Huko bandari wako wafuatao.

1. Bandari wenyewe [ watanzania]

2. DP world [ waarabu ]

3. Adani [ wahindi ]

Sasa tuelezwe kila mmoja alipangiwa lengo gani, na amezalisha kiasi gani.
 
153 bilioni kwa mwaka haiwezi kujustify walichofanya, kama tuna uwezo wa kukusanya 2000 billion kwa mwezi mapato ya ndani
Kama tutaweza kuona huko nyuma ilikuwaje ( mapato) tutaweza kufanya ulinganifu vizuri na matarajio.
 
Kwahiyo kauza kweli!
 
Huko bandari wako wafuatao.

1. Bandari wenyewe [ watanzania]

2. DP world [ waarabu ]

3. Adani [ wahindi ]

Sasa tuelezwe kila mmoja alipangiwa lengo gani, na amezalisha kiasi gani.
Tafuta takwimu ujiemishe siyo uwe kama akina mdude wanaosoma vichwa vya habaru na kufoka au kusubilia tundu lisu amesemaje leo. Nenda pale NBS (national bureu of statistics) au google au fuatilia makala za wasome hasa engineers wa bandari au google financial statements za bandari utapata maarifa
 

..hili gawio ni la nani kati ya hawa.

1. Bandari [ watanzania]

2. Dp world [ waarabu ]

3. Adani [ wahindi ]

Nguruvi3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…