Rais Samia: Waliosema nimeuza Bandari na Bahari faida yake ndio hii

DP World kaleta cranes tuu, tractors na software kitu ambacho tungefanya wenyewe, pesa kubwa na uwekezaji wote ulifanyika na JPM Kwa mkopo wa World Bank, hao ni madalali tuu wamekula kukufanya, na 150 billion ni ndogo sana Kwa Bandari kubwa kama yetu, pale tunahitaji at least trillion mbili Kila mwezi, kumbuka nchi sita zinategemea ile bandari, I hope atatokea kiongozi atakayeona utajiri wa hii bandari na kula nayo 100%
 
Propaganda tu,DP world wameanza kazi mwezi 2 hayo mapato ni kuanzia Julai,2023-May,2024.
Wastani wa mapato ya Bandari kwa mwaka hata kabla ya DP world ni 1 trillion,na miaka yote wamekuwa wakipeleka gawio la wastani wa 150 billion.
 
Watanganyika ndio wenye kelele, huwezi sikia upande wa pili wakilalamika, Fedha zimekuja na maendeleo tunayaona kama matund aya uuzwaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…