evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwa hiyo huyu mzanzibari kaja huku kuuza bandari zetu, stupid kabisa kauze bandari za huko kwenu zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
Tafuteni hoja nyingine 👇👇
======
“TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania) mwaka jana (2023) nina hakika kiwango chenu hakikuwa hiki, lakini kwa mageuzi yaliyotokea bandarini mmeweza kufikia kiwango hiki na mwakani tunatarajia kiwango kikubwa zaidi pengine mara mbili yake ya hiki mlicholeta leo, hakuna sababu kama mtaendesha bandari na sekta iliyopo pale na pale kuna watu wawili ambao tumeshawaruhusu.
Mmeomba maombi zaidi lakini hata wale wawili mwakani mnaweza kuleta mara mbili ya hiki kiwango na huko ndiko tulikuwa tunaelekea ndugu zangu . Wale waliopiga kelele mama kauza bahari sijui mama kauza bandari mama kauza nini mama kauza..mauzo yale faida yake ni hii hapa leo, na huu ni mwanzo tutatarajia kutapata faida kubwa zaidi kwa bandari zetu zote kubwa ambazo zipo ndani ya nchi”- Dkt. Samia.
View: https://www.instagram.com/reel/C8E2TrhNxHA/?igsh=MWNhMXI1cWM2dGVvMQ==
We jamaa mpumbavu sanaHawafanyi vizuri kama unavyosema wewe, wana underperform kulingana na uwezo wa Bandari Yao.
Pili sio sawa kulinganisha Kenya na Tanzania, wale ni business minded siku nyingi huku Tanzania ni wezi na wabinafsi.
Tatu hata nao wanatafuta wawekezaji vile vile
SI ulishaconclude bandari zimeuzwa kabla ya hapo, alafu unauliza Tena so ni Kweli bandari zimeuzwa!!??😂😂😂😂Kuna jinsi sijaelewa ukisikiliza dakika ya 50-51 anasema Mauzo yale ndio yameleta faida hizi. So kweli bandari zimeuzwa?
Wamejichanganya, tu wakati mwingine Mungu humsahaulisha mwizi ili amuumbue.." makabidhiano rasmi " si ndio kuanza kazi kwenyewe?
..kama hujakabidhiwa rasmi, maana yake si bado uko nje ya taratibu?
Una tatizo la mtindio wa akili/ubongo?!..inatia mashaka kwamba hawajaripoti sasa hivi.
Acha uongo basi kakaTPA sijawahi ona ikitoa Gawio but I stand to be corrected ikizingatiwa kuna mashirika yalikuwa yanakopa kutoa Gawio.
Adani naye kapewa juzi tayari tuna gawio! kwa mwendo huu mwakani hakuna kufanya kazi, tunasubiri magawio tu..kwa hiyo hilo gawio tumepewa na DP world?
..bila DP world tulikuwa hatuna uwezo wa kupata gawio hilo?
Kumbe walianza kazi kabla ya mkataba kupelekwa Bungeni! OK!DP World walianza kitambo, makabidhiano rasmi ndio yamefanyika mwezi Jana ila toka mwaka Jana DP World wapo kazini, waulize importers.
153 Billion? Umepata wapi hizo figures. TPA tu ilikusanya zaidi ya 6 Trillion kwa mwaka so sidhani figures zako ziko sawa153 bilioni kwa mwaka haiwezi kujustify walichofanya, kama tuna uwezo wa kukusanya 2000 billion kwa mwezi mapato ya ndani
Una uhaakika gani mwaka huu hawajakopa kutoa gawio?Sawa how much? Pili Kuna mashirika yalikuwa yanakopa.kutoa Gawio na sio faida ya efficient Yao Kwa sababu yalikuwa yanapata hasara
Tokea October 2023 Dp world ilianza kazi je miezi 9 haitoshi kutoa gawio?Wamejichanganya, tu wakati mwingine Mungu humsahaulisha mwizi ili amuumbue
Ingekuwa kweli bandari haina faida isingetoa gawio Leo
Kitendo Cha kutoa gawio kabla dp wahajatake over ni ushahidi tosha kuwa tunaweza endesha bandari wenyewe na kupata faida
Kwa sababu balance sheet zinaonesha ikiwemo Mbeya Cement ambao wametoa Gawio Kwa mara ya kwanza baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo.Una uhaakika gani mwaka huu hawajakopa kutoa gawio?
Wewe ndezi sana, sorry for disrespecting you mkuu.Kwa sababu balance sheet zinaonesha ikiwemo Mbeya Cement ambao wametoa Gawio Kwa mara ya kwanza baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo.
Pili hakuna anaewalazimisha kutoa Gawio kama mambo Yao yameenda mrama kama awamu ya Jiwe ya maonesho.
Au wewe umeona TRC na ATCL wametoa Gawio? Maana hao wanakula hasara
Hata nikiwa ndezi kwani ndio itafita Gawio?Wewe ndezi sana, sorry for disrespecting you mkuu.
Na hizo zitakula spana soon.Nikikumbuka gawio la TTCL na ATCL naishia kwa kusema let's wait and see.
Samia hafanyi maigizo,ambao hawapati faida Gawio la nini? Wanatoa wapi?Nikikumbuka gawio la TTCL na ATCL naishia kwa kusema let's wait and see.