Watu huwa hamjifunzi mpaka yawakute sio? Hizo nguvu unaweza kuzitumia na ukafanikiwa kama angalau 40% ya wananchi wanakuelewa, kinyume na hapo inakuwa ngumu sana.Hawana ubavu, yeye ana nguvu zote.
Ulitakaje kwani usiwe mpumbavu kila mtu alizaliwa na tarehe zakeKumbe huwa tunapigizana kelele na watoto tu humu? Na wengine unakuta mnatukana tu watu hovyohovyo humu.
Kwahiyo mtu wa miaka 60 anaweza kukuzaa ? Sawa.
Kwani nani anapendwa na jinsia zoteKuna watu watabisha tu hapa, ila kiuhalisia anachukiwa mpaka na baadhi ya wanawake wenzake.
Watakaomsifia hawawezi kukosekana, ila wengi wao wameegemea zaidi katika malengo wa Feminism, Dini, uzanzibar na wengine ni wale wanaonufaika na uwepo wake pale.
Tofauti na hapo, SAMIA hii nchi imeshamshinda mapema sana.Si kwasababu ni mpole ni kwasababu haelewi afanye nini licha ya kuwa ikulu kwa zaidi ya miaka sita.
Sawa mtoto wa Rais.Ulitakaje kwani usiwe mpumbavu kila mtu alizaliwa na tarehe zake
USSR
Hatutachagua wasukuma tena2025 rais Ni Gwajima,makamu wake Ni Polepole,Waziri mkuu Musiba.
Mliofanya sherehe siku ya kifo cha JPM mnalialia nini sasaRaisi kuwa mwanamke au mwanaume si issue. Tunataka raisi atakyeheshimu katiba hata hii iliyopo yenye matatizo.
Afadhali Mwinyi ana ubara kidogo na yuko vizuri. Mama tozo, petroli inapanda kila kukicha, mafuta ya kula yanapanda nk. Yaani haangalii vitu vianvyomgusa mwananchi wa kawaida!!!! Tumelalamika wanapunguza only 30%. Tumegoma kutumia miamala ya simu tukaanza kutumia simbanking akaingia huko nako!!!! Ili mradi tu tukome ubishi!!!
Kuna watu watabisha tu hapa, ila kiuhalisia anachukiwa mpaka na baadhi ya wanawake wenzake.
Watakaomsifia hawawezi kukosekana, ila wengi wao wameegemea zaidi katika malengo wa Feminism, Dini, uzanzibar na wengine ni wale wanaonufaika na uwepo wake pale.
Tofauti na hapo, SAMIA hii nchi imeshamshinda mapema sana.Si kwasababu ni mpole ni kwasababu haelewi afanye nini licha ya kuwa ikulu kwa zaidi ya miaka sita.
Mbona una mawazo kama ya Steven Nyerere?Kwani nani anapendwa na jinsia zote
USSR
Watanzania wewe na nani? Umelewa pesa ya TOZO?Mama chapa kazi watanzania tuna imani na wewe
Nililia sana Jiwe alivyokufa. He was a human being hata kama kuna vitu alikosea sana. Sikuelewa raisi aliyeko madarakani anakufaje! With all the protection, health guidelines etc. ilisikitika mkuu sikufarahia. Unajua hata adui akifa huwa tunasikitika. Huwezi kulinganisha uhai wa mtu na kitu chochote!!!Mliofanya sherehe siku ya kifo cha JPM mnalialia nini sasa
USSR
Ha ha ha!!! kalewa pesa ya tozo!!!!!Watanzania wewe na nani? Umelewa pesa ya TOZO?
Akili ndogo ndiomaana umenichukulia kama mdini, licha ya kuwa nimeongea mengi tu ila umechukua hicho kipande na kunihusisha na Gwajima ambaye hata hakuwa msingi wa hoja yangu.Tupe idadi ya wanaomchukia.
Halafu wewe ndiyo mdini na mbaguzi. Watu kama ninyi huwa hamukosekani,,,, mfuate gwajima mdini mwenzio na mbaguzi mtaendana sawa.
ww ndugu hakuna 14 years usiongee usivyovijuaa ..katiba inasema atagombea awamu 3 endapo JPM angekuwa kaongoza nchi more than 3 years ...huyu mama kachukua nchi hata mwaka bado kwahyo atakuwa na vipindi 2 tu vyakuongoza nchi hii jumla miaka 9 na usheeeKatiba ipi na kifungu kipi?!!..Yeye alikua Makumu wa Raisi/amekuja kuwa Raisi Kwa Mujibu wa Katiba!!..2025 anagombea rasmi!!.. anaweza kuongoza for 14 Years kama akipenda na chama kikiona inapendeza!!
Raisi kuwa mwanamke au mwanaume si issue. Tunataka raisi atakyeheshimu katiba hata hii iliyopo yenye matatizo.
Afadhali Mwinyi ana ubara kidogo na yuko vizuri. Mama tozo, petroli inapanda kila kukicha, mafuta ya kula yanapanda nk. Yaani haangalii vitu vianvyomgusa mwananchi wa kawaida!!!! Tumelalamika wanapunguza only 30%. Tumegoma kutumia miamala ya simu tukaanza kutumia simbanking akaingia huko nako!!!! Ili mradi tu tukome ubishi!!!
Simchukii lakini anajiongezea wigo wa maadui pasipo lazima ya kufanya hivyo. Nampenda,namheshimu. Ila hii route aliyoamua kupita inamuingiza chaka.Mkuu kuwa makini utapata sonona bure kwa kumchukia Rais wako
Katiba inampa nafasi hyo mkuu sema anayo option yeye kugombea ama la Ila ni kwa muhula mmojaLakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.