Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Watu huwa hamjifunzi mpaka yawakute sio? Hizo nguvu unaweza kuzitumia na ukafanikiwa kama angalau 40% ya wananchi wanakuelewa, kinyume na hapo inakuwa ngumu sana.Hawana ubavu, yeye ana nguvu zote.
Tanzania si nchi ya kwanza kupata Rais mwanamke hapa afrika, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kuacha legacy nzuri hata huyu nae kaonyesha kushindwa mapema tu. Joyce Banda yuko wapi??