Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Hawana ubavu, yeye ana nguvu zote.
Watu huwa hamjifunzi mpaka yawakute sio? Hizo nguvu unaweza kuzitumia na ukafanikiwa kama angalau 40% ya wananchi wanakuelewa, kinyume na hapo inakuwa ngumu sana.

Tanzania si nchi ya kwanza kupata Rais mwanamke hapa afrika, lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kuacha legacy nzuri hata huyu nae kaonyesha kushindwa mapema tu. Joyce Banda yuko wapi??
 
Kumbe huwa tunapigizana kelele na watoto tu humu? Na wengine unakuta mnatukana tu watu hovyohovyo humu.

Kwahiyo mtu wa miaka 60 anaweza kukuzaa ? Sawa.
Ulitakaje kwani usiwe mpumbavu kila mtu alizaliwa na tarehe zake

USSR
 
Kuna watu watabisha tu hapa, ila kiuhalisia anachukiwa mpaka na baadhi ya wanawake wenzake.

Watakaomsifia hawawezi kukosekana, ila wengi wao wameegemea zaidi katika malengo wa Feminism, Dini, uzanzibar na wengine ni wale wanaonufaika na uwepo wake pale.

Tofauti na hapo, SAMIA hii nchi imeshamshinda mapema sana.Si kwasababu ni mpole ni kwasababu haelewi afanye nini licha ya kuwa ikulu kwa zaidi ya miaka sita.
Kwani nani anapendwa na jinsia zote

USSR
 
Raisi kuwa mwanamke au mwanaume si issue. Tunataka raisi atakyeheshimu katiba hata hii iliyopo yenye matatizo.

Afadhali Mwinyi ana ubara kidogo na yuko vizuri. Mama tozo, petroli inapanda kila kukicha, mafuta ya kula yanapanda nk. Yaani haangalii vitu vianvyomgusa mwananchi wa kawaida!!!! Tumelalamika wanapunguza only 30%. Tumegoma kutumia miamala ya simu tukaanza kutumia simbanking akaingia huko nako!!!! Ili mradi tu tukome ubishi!!!
Mliofanya sherehe siku ya kifo cha JPM mnalialia nini sasa

Tupe idadi ya wanaomchukia.

Halafu wewe ndiyo mdini na mbaguzi. Watu kama ninyi huwa hamukosekani,,,, mfuate gwajima mdini mwenzio na mbaguzi mtaendana sawa.
 
Mliofanya sherehe siku ya kifo cha JPM mnalialia nini sasa

USSR
Nililia sana Jiwe alivyokufa. He was a human being hata kama kuna vitu alikosea sana. Sikuelewa raisi aliyeko madarakani anakufaje! With all the protection, health guidelines etc. ilisikitika mkuu sikufarahia. Unajua hata adui akifa huwa tunasikitika. Huwezi kulinganisha uhai wa mtu na kitu chochote!!!
 
Tupe idadi ya wanaomchukia.

Halafu wewe ndiyo mdini na mbaguzi. Watu kama ninyi huwa hamukosekani,,,, mfuate gwajima mdini mwenzio na mbaguzi mtaendana sawa.
Akili ndogo ndiomaana umenichukulia kama mdini, licha ya kuwa nimeongea mengi tu ila umechukua hicho kipande na kunihusisha na Gwajima ambaye hata hakuwa msingi wa hoja yangu.

Wewe kaa usubirie hoja mserereko zinazoendana na level ya ubongo wako,Ili userereke nazo.

Nikupe idadi ya wanaomchukia? Haya Unashindwa hata kupita maoni ya watu?

Haya wewe nipe idadi ya wanaompenda.
 
Katiba ipi na kifungu kipi?!!..Yeye alikua Makumu wa Raisi/amekuja kuwa Raisi Kwa Mujibu wa Katiba!!..2025 anagombea rasmi!!.. anaweza kuongoza for 14 Years kama akipenda na chama kikiona inapendeza!!
ww ndugu hakuna 14 years usiongee usivyovijuaa ..katiba inasema atagombea awamu 3 endapo JPM angekuwa kaongoza nchi more than 3 years ...huyu mama kachukua nchi hata mwaka bado kwahyo atakuwa na vipindi 2 tu vyakuongoza nchi hii jumla miaka 9 na usheee
 
Raisi kuwa mwanamke au mwanaume si issue. Tunataka raisi atakyeheshimu katiba hata hii iliyopo yenye matatizo.

Afadhali Mwinyi ana ubara kidogo na yuko vizuri. Mama tozo, petroli inapanda kila kukicha, mafuta ya kula yanapanda nk. Yaani haangalii vitu vianvyomgusa mwananchi wa kawaida!!!! Tumelalamika wanapunguza only 30%. Tumegoma kutumia miamala ya simu tukaanza kutumia simbanking akaingia huko nako!!!! Ili mradi tu tukome ubishi!!!

Kwangu mimi wote wako sawa,,, kwanza unaposema Mwinyi ana kaubara na ssh hana ubara tayali ushatia kaubaguzi flani ivi.

Ivi ingetokea Gaddafi akaja kuiongoza Tanzania ungekataa? Sasa kwanini umkatae mama samia kwakuwa ni mzanzibari!!!!

Mama yuko poa
Mwinyi yuko poa

Tuendelee kumpa muda,,,nchi itakaa sawa na wenye midomo mirefu waufyata.
 
Kwa hiyo akipita itakuwa wanawake ndio wamemchagua? Na takwimu miaka yote inaonesha wanawake ndio kundi la mwisho kwa kupiga kura. Hawanaga muamko wa kupuga kura ila ni vihere here vya kwenda kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom