Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Walitumia akili kubwa ili kupata jibu lenye uhakika kutoka kwa mhusika badala ya kuishi kwa mino g'ono tu.
Na kaingia mzima mzima kweli yan, wenzake wajanja huwa hawatamkitamki hadharani bali wanacheza futiboli nje ya uwanja kwanza...wakijaingia uwanjani gemu ilishaisha hiyo
 
Huyu mama ni huu muhura tu anamalizia watu wametimiza matakwa ya kikatiba na hii ni plan ya kuonesha kwamba katiba imefuatwa ila 2025 mpaka 2030 hana chake na ndo atajua kwamba ccm huwa kuna rafu na figisu za kutosha
 
Yaani unapata bahati halafu unaiachia... hata mimi nisingeweza.
 
Na kaingia mzima mzima kweli yan, wenzake wajanja huwa hawatamkitamki hadharani bali wanacheza futiboli nje ya uwanja kwanza...wakijaingia uwanjani gemu ilishaisha hiyo
Hata ile kutangaza kulifungia gazeti lao kwa muda mfupi ule ilikuwa no sehemu ya game plan.
Nashangaa jashtuki na anaita vijigazeti wakati vimemexplore bila yeye kujua
 
Kwa nini amewapiga stop wengine kuonyesha nia wakati leo ni siku ya demokrasia? Huyu mama apewe mambo ya kuongea. Leo kwanza haikuwa siku sahihi ya mipasho. Pia asikataze wengine nao kuonyesha nia kama yake. Mwisho ni kuwa uRais haupatikani kwa vigezo vya jinsia. Yeye na candidates wengine watapimwa kwa uwezo wao na si jinsia.
 
Halafu mbona ameanza kuchachawa mapema hivi! 2025 hatufanyi makosa. Haya ya bahati mbaya yameshatufunza mengi.
 
Dada Ummy ni mmoja ya viongozi shupavu kabisa ila kwasasa nchi inamuhitaji Mama SSH, baada ya yeye atafuata Dada Ummy.

#Mama 2025
 

Tuombe yashuke mkuu. Kwakweri hali co nzuli. Huku nilipo 3 litas na point elufukumi.
 
Halafu anasema hawezi kufoka kwa sababu ni mwanamke, sasa kuna haja gani ya kuwakalia kiya watendaji wasiotekeleza wajibu wao?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Halafu mbona ameanza kuchachawa mapema hivi! 2025 hatufanyi makosa. Haya ya bahati mbaya yameshatufunza mengi.

Kuweni serious bac. Hajafikisha ata mwaka mumeanza kumtoa kasolo. Mama na magufuli mbingu na ardhi, mama yuko njema sana.,,, kwa huluma yake naimani atamtoa mheshimiwa mbowe.

10 tenaaaa.
 

Mimi bado naimani nae sana mkuu.
 
Hivi huwa wanafuata ushauri?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…