Dead Man
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 709
- 827
Ila ameonyesha usjabuNadhani atakuwa amerusha jiwe gizani ili reaction ionekane,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ameonyesha usjabuNadhani atakuwa amerusha jiwe gizani ili reaction ionekane,
Na kaingia mzima mzima kweli yan, wenzake wajanja huwa hawatamkitamki hadharani bali wanacheza futiboli nje ya uwanja kwanza...wakijaingia uwanjani gemu ilishaisha hiyoWalitumia akili kubwa ili kupata jibu lenye uhakika kutoka kwa mhusika badala ya kuishi kwa mino g'ono tu.
Katili alipingwa aje kuwa maza?!!!Yeye ndio mwenyekiti,atapingwa na Nani?
Atakaempinga hataki uteuzi huyo.
Hata ile kutangaza kulifungia gazeti lao kwa muda mfupi ule ilikuwa no sehemu ya game plan.Na kaingia mzima mzima kweli yan, wenzake wajanja huwa hawatamkitamki hadharani bali wanacheza futiboli nje ya uwanja kwanza...wakijaingia uwanjani gemu ilishaisha hiyo
Huu ni uongo, kama anataka kuweka tozo sawa ilikuwaje akasaini ule muswada? Hakuusoma?
Kuhusu mafuta kupanda duniani ni uongo mwingine huo,maana unakumbuka mwezi huu walipandisha mafuta kwa kusema yamepanda huko duniani, baadae wakasema tunayashusha. Sasa wamewezaje kushusha Bei ya Mafuta ikiwa duniani yamepanda?
Halafu anasema hawezi kufoka kwa sababu ni mwanamke, sasa kuna haja gani ya kuwakalia kiya watendaji wasiotekeleza wajibu wao?Wananchi wanataka rais wa kupigania maslahi ya umma sio mtu anatuletea habari ya rais mwanamke. Awe mwanamke au mwanaume umma hawana haja na rais wa kutetea maslahi ya mabwanyenye. Wanataka mtu muadilifu na shupavu. Asiye muoga au kutishika. Sio mtu unagombea urais ili eti kwenda waonesha wanawake kwamba na wao wamekua rais.
Halafu mbona ameanza kuchachawa mapema hivi! 2025 hatufanyi makosa. Haya ya bahati mbaya yameshatufunza mengi.
Hii aliiyotia lini? Asee watu mna siriHuyu mama kauli yake kwamba Uraisi wa Zanzibar sio saizi yake,ilitakiwa imshtue Magu,huyu mama kafurahia sana kifo cha Magufuli hiyo mbona iko wazi
Maza aliingia kwa mkwara mzito akawaambia tena nyie wa mifuko ya jamii ninatenga Muda wa kuwashughulikia maana huko 'kumeoza' basi wastaafu wakapata moyo.laah kumbe Hangaya na Magu Ni wale kwny mafao ya wastaafu.Tofauti mmoja Ni wa kike mwingine Ni wa kiume.Hana msaada.
Hivi huwa wanafuata ushauri?Sina hakika kama huu ulikuwa muda muafaka kwake kutangaza nia ya urais 2025 kwa sababu watanzania bado wanaomboleza. Nadhani washauri wake hapo wamempotosha, alipaswa achape kazi tu kwa sasa then two or one year before uchaguzi angekuwa na sababu (jamani naombeni mnipe lizaa nimalizie yale ambayo nimeyaanza). Ila kwa sasa inaonekana kama vile yalipangwa yaliyotokea ili yeye iwe hivyo alivyo na ni furaha kwake! Sijui ila inafikirisha sana huo uharaka.
Ushindi wake unategemea uwepo wa tume ya uchaguzi ya shujaa wa afrikaKushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
"Ikulu siyo pakukimbilia, ni mzigo mzito" J. K. Nyerere