Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

2025 hatagombea sababu hatakuwepo
 
Ummy sawa ila tatizo lake kubwa ni kukurupuka!

Kama hivi sasa anataka kukurupuka kuwapa Tsc kuajiri walimu huku akijua kwa kufanya hivyo kutaharibu mfumo mzima wa kuajiri na ajira kuwa za rushwa na kujuana!
 
Aijue Tanzania vizuri,leo hii anataka kurudishia halmashauri suala la ajira za walimu,utadhani hajui kua wakurugenzi na maafisa mbalimbali wataomba rushwa mbalimbali kirahisi.
Sijui aliwaza nini yule dada hadi kufikia huu uamzi wa hovyo!
 
Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Kwanini haimruhusu? Ninavyoelewa mimi ni kwamba katiba inamruhusu muhula mmoja kwa kuwa hayati jpm kaacha miaka minne. Naomba nielimishe hapo
 
Poa tuu ni haki yake pia, hiyo miaka miwili liyobaki apige kazi ya maana na aache siasa za fitna za CCM kubana wapinzani ile nchi ni ya wote hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine, na akubali mjadala wa katiba, ahakikishe polisi na mahakama zinatoa na kulinda haki kwa kila mtu, apunguze mikodi na kuweka mazingira mazuri ya kufanya biashara kwa kila mtu, na wasiibe kura maana tunajua CCM bila wizi wangekuwa wameshajifia siku nyingi sana kama KANU
 
Hiyo ni msg kwa akina Mwigulu na wengine akina sukuma gang kwamba watulize mazaga. Tusije kulaumiana bure.
 
Kama ni kuamua mimi basi Hata Amber ruti ni shupavu naye.
Ndio upo sahihi kabisa Mkuu ni shupavu katika yale mnayoyapenda wewe na yeye, japo sijui huyo mtu uliyemtaja ni nani haswa Mkuu?
 
Sio kila mropokaji kwa sauti kubwa anaweza kuwa Rais,kwanza hana utulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…