Bhujegwe
Senior Member
- Nov 23, 2013
- 135
- 191
Duuhh!! 😀😀😀2025 rais ni Gwajima, makamu wake Ni Polepole, Waziri mkuu Musiba.
Nchi itapaa hewani kabisa kwa couple hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhh!! 😀😀😀2025 rais ni Gwajima, makamu wake Ni Polepole, Waziri mkuu Musiba.
2025 hatagombea sababu hatakuwepoRais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
Unauliza jibu?! Wewe unatakaje?Kwahiyo anataka uraisi?
Sijui aliwaza nini yule dada hadi kufikia huu uamzi wa hovyo!Aijue Tanzania vizuri,leo hii anataka kurudishia halmashauri suala la ajira za walimu,utadhani hajui kua wakurugenzi na maafisa mbalimbali wataomba rushwa mbalimbali kirahisi.
Duh.2025 hatagombea sababu hatakuwepo
Kwanini haimruhusu? Ninavyoelewa mimi ni kwamba katiba inamruhusu muhula mmoja kwa kuwa hayati jpm kaacha miaka minne. Naomba nielimishe hapoLakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
AiseeKumbe wewe ni mwanamke !!!Nimeacha kabisa kukujibu chochote kumbe wewe unejiuza hapo Lumumba!!Malaya wa kisiasa
Ni muhimu sana kwa kuwaambia waumini wake wasichanjwe ??!Ila wakubali wakatae Askofu Gwajima ni muhimu sana kwa ccm mnamo 2025!!
🤣🤣🤣[emoji16][emoji16] Kumbukumbu hazipotei, "mimi na magu letu moja"
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kama ni kuamua mimi basi Hata Amber ruti ni shupavu naye.Kwenye mizani utaamua wewe utumie ile inayotumiwa na Tanroad au dukani kwa Mangi.
#Mama 2025
Ndio upo sahihi kabisa Mkuu ni shupavu katika yale mnayoyapenda wewe na yeye, japo sijui huyo mtu uliyemtaja ni nani haswa Mkuu?Kama ni kuamua mimi basi Hata Amber ruti ni shupavu naye.
Sio kila mropokaji kwa sauti kubwa anaweza kuwa Rais,kwanza hana utulivuHabari,
Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuweka uzi hapa wa kumsifia dada huyu kwa uchapakazi wake mahiri na ufuatiliaji wa karibu katika utendaji wake ambao kusema ukweli ni wa kipekee sana.Baada ya kusikia minong'ono ya chini kuhusu mgombea mwanamke 2025 Nikakumbuka kwamba nilitamani kuweka uzi wa kuelezea kwa namna utendaji kazi wa Ummy Mwalimu ni wa kipekee,Ila kutokana na mambo kuwa mengi nilijikuta ninasahau,Lakini leo nimekumbuka baada ya kuona utabiri wa mgombea mwanamke 2025.
Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala cha kisiasa. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nafasi ambayo aliitumikia hadi mwaka 2015.
Ummy Mwalimu ameshika nafasi mbalimbali katika ulingo wa siasa. Mwaka 2015 alikuwa mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na mwaka 2014-2015 alikuwa mjumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Mwaka 2015 alikuwa Naibu waziri wa Sheria na katiba, mwaka 2014/5 alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mazingira na mwaka 2010-2014 alikuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto.
Pia Ummy Mwalimu amekuwa Mbunge kwa vipindi viwili (2010 hadi 2015 na mwaka 2015 hadi 2020) kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi kupitia Viti Maalum kwa Wanawake.
Mwaka 2007-2015 Ummy alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Tanga na mwaka 2008 hadi 2015 alikuwa mjumbe wa Umoja wa Wanawake (UWT) Tanga. Mwalimu ameshika nafasi nyingi za uongozi katika chama na serikali.
Nitarejea kuendelea
mimi namuomba mungu inshaallah mama samia ushindwe na usipite kwenye uchaguzi wa urais tena inshaallah mwisho wako iwe hiyo minne mimi sikuchagui kabisa