Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba yako wewe labda ni ya toka enzi za kinjeketile lakini kama ni hii ya wasakatonge anaweza kula mzigo kilainiLakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Hata mm ningeumwa manake kuwa waziri wa pesa si kazi ndogo ndugu madeluHilo lipowazi ila apige kazi sio majungu .nampenda Samia hadi naumwa
USSR
Sure Ndalichako apewe nchi jamani. Namkubali huyu maza afu ni kichwa balaaa. Elimu yake hakuunga. Nina Imani atashepu elimu ya vijana wetu wanaokujaUmekosea kabisa.
Chaguo ni Ndalichako.
Ze ze ze book!
Muulize Kikwete ungwe ya pili jasho lilimtoka,kumbuka na yeye alikuwa kipenzi haswa sio kama hili jibibiMgombea yeyote atakayewekwa hawezi kumshinda rais aliyeko madarakani
Ni kweli ni paradiso ya duniani lakin yote ni ubatili tu hasa kama hukuipata kwa mapenzi, kwa haki ya KiMungu na kwa ukhalali wa kidunia. Unaweza ukawa namba moja nchini lakin ukawa unaishi kwa mateso, magonjwa na misongo ya mawazo kipindi chako chote. Hata utajiri kuna watu wanapata utajiri batili, mtaani tunaita pesa za mapaka...wanakuwa nazo lakini zinawatesa..Yeye mwenyewe alikaa miaka 23.Msidanganyike Ikulu ni Paradiso ya duniani. Imagine kuwa number moja wa nchi.
CCM wanakuchukia ukiwa umeziba mianya yao ya upigaji lakini kama unakula nao wala hawana shida na wewe,wanakupitisha kwa kula zote za ndiyo nakwa kishindoHawa watu ndio maana wanakufaga kibudu. Unahudhuria maadhimisho ya demokrasia gani unayo practice kama sio unafki mkubwa!
Huyo hata ma ccm wenzake wahawezi kukubali arudi madarakani.
Walitumia akili kubwa ili kupata jibu lenye uhakika kutoka kwa mhusika badala ya kuishi kwa mino g'ono tu.Hivi gazeti la Uhuru walitoa wapi zile NONDO kuwa kasema hana mpango wa kuwania urais 2025?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Ongeza sautiiAsha-Rose Migiro anawachekiiii anasema hiiiiii
Mmeshaanza ujinga..Habari,
Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuweka uzi hapa wa kumsifia dada huyu kwa uchapakazi wake mahiri na ufuatiliaji wa karibu katika utendaji wake ambao kusema ukweli ni wa kipekee sana.Baada ya kusikia minong'ono ya chini kuhusu mgombea mwanamke 2025 Nikakumbuka kwamba nilitamani kuweka uzi wa kuelezea kwa namna utendaji kazi wa Ummy Mwalimu ni wa kipekee,Ila kutokana na mambo kuwa mengi nilijikuta ninasahau,Lakini leo nimekumbuka baada ya kuona utabiri wa mgombea mwanamke 2025.
Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala cha kisiasa. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nafasi ambayo aliitumikia hadi mwaka 2015.
Ummy Mwalimu ameshika nafasi mbalimbali katika ulingo wa siasa. Mwaka 2015 alikuwa mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na mwaka 2014-2015 alikuwa mjumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Mwaka 2015 alikuwa Naibu waziri wa Sheria na katiba, mwaka 2014/5 alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mazingira na mwaka 2010-2014 alikuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto.
Pia Ummy Mwalimu amekuwa Mbunge kwa vipindi viwili (2010 hadi 2015 na mwaka 2015 hadi 2020) kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi kupitia Viti Maalum kwa Wanawake.
Mwaka 2007-2015 Ummy alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Tanga na mwaka 2008 hadi 2015 alikuwa mjumbe wa Umoja wa Wanawake (UWT) Tanga. Mwalimu ameshika nafasi nyingi za uongozi katika chama na serikali.
Nitarejea kuendelea
Rais mwinyewe anaonekana kuhangaika .... sasa hapo unategemea nini!!Mtahangaika sana ila tayari nchi ina rais
Huyo Ummy umempendea nini ..... kuchekacheka amma!!?Habari,
Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuweka uzi hapa wa kumsifia dada huyu kwa uchapakazi wake mahiri na ufuatiliaji wa karibu katika utendaji wake ambao kusema ukweli ni wa kipekee sana.Baada ya kusikia minong'ono ya chini kuhusu mgombea mwanamke 2025 Nikakumbuka kwamba nilitamani kuweka uzi wa kuelezea kwa namna utendaji kazi wa Ummy Mwalimu ni wa kipekee,Ila kutokana na mambo kuwa mengi nilijikuta ninasahau,Lakini leo nimekumbuka baada ya kuona utabiri wa mgombea mwanamke 2025.
Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama tawala cha kisiasa. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum vya Wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nafasi ambayo aliitumikia hadi mwaka 2015.
Ummy Mwalimu ameshika nafasi mbalimbali katika ulingo wa siasa. Mwaka 2015 alikuwa mjumbe wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge na mwaka 2014-2015 alikuwa mjumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Mwaka 2015 alikuwa Naibu waziri wa Sheria na katiba, mwaka 2014/5 alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mazingira na mwaka 2010-2014 alikuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto.
Pia Ummy Mwalimu amekuwa Mbunge kwa vipindi viwili (2010 hadi 2015 na mwaka 2015 hadi 2020) kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi kupitia Viti Maalum kwa Wanawake.
Mwaka 2007-2015 Ummy alikuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Tanga na mwaka 2008 hadi 2015 alikuwa mjumbe wa Umoja wa Wanawake (UWT) Tanga. Mwalimu ameshika nafasi nyingi za uongozi katika chama na serikali.
Nitarejea kuendelea
Yeye ndio mwenyekiti,atapingwa na Nani?Hawa watu ndio maana wanakufaga kibudu. Unahudhuria maadhimisho ya demokrasia gani unayo practice kama sio unafki mkubwa!
Huyo hata ma ccm wenzake wahawezi kukubali arudi madarakani.
Anavuta upepo tu.Huyo ameshatulia hana kitu tena