Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa;

Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo lenu msikubali nao.

Nataka kuwaambia kwamba wameishiwa, hawana pa kupenya, wameshaona mbele mambo magumu kwao, sasa la kufanya ni kuharibu amani na utulivu wan chi yetu, ili wananchi waishi kwa mashaka, muone nchi yenu siyo njema, ndio lengo lao.

Niwaombe sana msikubaliane nao, Maisha haya tunayoishi huku kwetu nataka niwaambie, Tanzania ni pepo. Pamaoja na changamoto zote tulizonazo, Tanzania tupo kwenye pepo ndugu zangu. Na ukitaka kujua kama hii ni pepo nenda kwa majirani zetu, utajua Tanzania upo peponi hapa.


 
Sawa

Chadema wameona watashindwa vibaya Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Uchaguzi mkuu
 
Huwenda ni kweli

Maana alichokujanacho bwana Lissu, ni Wazungu kumfanyia uchunguzi usio rasimi kuhusu ajali aliyoipata kisiasa

Kama siyo nia ya kuogopa kushindana ili ajipoze na hiko, basi itakuwa ni niia ya kuona waendako hawataweza bora afanye kile wazungu wamemwambia

Mbali na hili, CCM siyo chama cha kurudia kukipa nchi tena

2025 kataa ccm
 
Back
Top Bottom