Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==

My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.

For sure hawana pumzi ya kisiasa tena, hawana mipango mikakati mbadala, hawana mawazo mapya wala fikra mbadala, hawana dira wala uelekeo wa kueleweka,

kiufupi wapinzani,
hasa chadema wanaweweseka tu, moja haikai mbili haikai. Leo wanaweza kusema hili, lakini kesho hilo hilo wakasema kivingine. Kiufupi wapinzani wamechanganyikiwa kabisaa nchini..

Na itakapofika 2025 wapinzani nchini itakua ni vichekesho 🐒
 
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==

My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.

Anatetemeka slogan) hashtag #Samiamustgo mengine ni kutafuta huruma ya watu na kuficha uhusika wa serikali yake kwenye utekaji na mauaji ya Wapinzani
Mengine ni upuuzi mtupu
 
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==

My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.

Hizo story za wale "mabeberu" Alitupigia shetani Yule wa chato, lakini, ndani ya muda mfupi tukajua tu, ni upuuzi, unswaita wazungu mabeberu wakati wanakusaidia ujilishe, wanafundisha Jeshi, polisi wako, wanakupa misaada, nk,
Hv tukiwekewa vikwazo hakuna kuuza chochote nje, si mishuzi tu itatutoka
 
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==

My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.

WANAOTEKWA na kuua watu ndo wanaotaka kuharibu amani ya nchi, CHADEMA sio vichaa, wanaguswa wana Nia ya kupaaza sauti, kukemea utekaji na uuaji ambao serikali imeshindwa kukamata, kuchunguza na kutoa majibu ya utekaji na mauaji.

Alitakiwa atoe majibu ya watu wanaoteka na kuua ni nani?? Wanatumwa na nani?? Kwa ajili ya Nini??

Je wana nguvu kiasi gani mpaka wanashindwa kuwapata??

Itakuwa ni genge la wahalifu.

Kama Serikali imeshindwa kuwatambua je,bje ipo kwa ajili Gani???
 
Back
Top Bottom