Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs

View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==

My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.

Wameishiwa watekaji au nani. Halafu huyo mzanzibar anayetishia amani ya inchi ninani, mtekaji au wanaotekwa. Inaonesha hathamini kabisa uhai wa raia wa Tanganyika
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
    589.7 KB · Views: 2
Ngoja siku moja wa kwao watekwe na kupotea tusipowakuta barabarani wamevua nguo na vurugu za polisi .Mtoto anauma nyie asikwambie mtu na wao wamezaa kwa uchungu wakwao wanalindwa 24/7
Yeye ndiyo anaagiza utekaji ufanyike
 
Huyu bibi makunganya ni mjinga sana.amani kaiharibu yeye halafu anamwambia nani kuhusu amani?
 
Back
Top Bottom