kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
upenyo aende kam-banie mumewe hao CHADEMA watafata katibaPoleni sana hamtapewa upenyo
Nimekaa kimya mda wote ila hapo mama umekosea, maandamano ni halali kulingana na katiba. Ungewaacha tena walindwe na jeshi letu la polisi.Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Hakuna kitu pale.Anaongea ongea tu kama kikao cha kusuta
kwake si kizimkazi arudi huko akufunge samaki bara sio kwakeUjumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Wameishiwa watekaji au nani. Halafu huyo mzanzibar anayetishia amani ya inchi ninani, mtekaji au wanaotekwa. Inaonesha hathamini kabisa uhai wa raia wa TanganyikaUjumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Kwani siku hizi kuna Amani? Au kwa watu fulani,fulani tuUjumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Huyu nayeee....Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Una Amani Gani pimbi weweUjumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAVpwRiiRww/?igsh=MmRmbmpld2Y4bXFs
View: https://www.instagram.com/reel/DAVpMalondE/?igsh=MXcxdGRrcDB1cWhraQ==
My Take: Hakuna Kibaraka ataruhudiwa kuvuruga amani ya Nchi hii,wafikishieni ujumbe waliowatuma.
Kwahiyo Mzee kibao hakutekwa?Jitu lishakuwa beberu halafu 'mabwana' zao tena?!.
Unajichanganya kada, kama ni beberu basi we jua linakupandeni...full stop!.
Mmeishiwa.Jitu lishakuwa beberu halafu 'mabwana' zao tena?!.
Unajichanganya kada, kama ni beberu basi we jua linakupandeni...full stop!.
Mmeishiwa.Usikute hata hajui kama hilo ni takwa la katiba. CCM huwa mnaokota wapi wagombea?
wameishiwa, hawana pa kupenya, wameshaona mbele mambo magumu
Yeye ndiyo anaagiza utekaji ufanyikeNgoja siku moja wa kwao watekwe na kupotea tusipowakuta barabarani wamevua nguo na vurugu za polisi .Mtoto anauma nyie asikwambie mtu na wao wamezaa kwa uchungu wakwao wanalindwa 24/7