Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa Wanataka Kuharibu Amani Yetu,Tusikubali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ujinga ni donda la kichwa aliyenalo hawezi kuliona
Amani imebaki kuwa kichaka cha CCM kujificha ili kuwatawala watu ili kuwajengea wananchi uoga kisa Amani.ukihoji unaharibu Amani
 
Amani inavurugwa na CCM usitudanganye wananchi wanajua ni Lugha tu mnayotumia kila siku kila mkikosolewa mnadai amani inavurugwa mnataka muendeleze kutupiga pesa na miili yetu MUNGU ANAWAONA NA IPO SIKU ATAJIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…