Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

Naona chui linajivua ngozi ya kondoo.
 
Haki na uhuru ni lazima , asijione kama yeye ndio anazitoa hizo haki, yeye atapita tuu kama wengine, nchi itaendelea kuwepo na wala haitegemei hisani au huruma yake
Jibu ni moja tu kuwa mkileta chokochoko mtawajibishwa bila huruma
 
Wewe endelea kuweweseka chumbani kwako huko huko.lakini ukitoka nje ni lazima utii sheria bila shuruti.ukileta ujuaji ni lazima udakwe na kutupwa ndani
 
Wewe endelea kuweweseka chumbani kwako huko huko.lakini ukitoka nje ni lazima utii sheria bila shuruti.ukileta ujuaji ni lazima udakwe na kutupwa ndani

Hao waliotoa maoni hadharani mbona hawawaweki ndani? Mimi natoa maoni ya kujenga sina mihemko! Natoa maoni bila kuvunja sheria.....4Rs za Bibi Kiziwi ni kiini macho ,hamaanishi....Mwanza washaanza kuwapinga watekaji ,next hao watekaji mtakuja kuchukua majivu ,Zakaria aliwaonyesha Show ,Hamza aliwaonyesha show ,endeleeni kutetea UJINGA.
 
Nikimwaza jinsi Magufuli alivyokua anatisha, anasifiwa,anajiamini, anajiaskia - ana mamlaka, anaulinzi mpaka anatisha.Jinsi alivyokua akisifiwa na wasaidizi wake..
Na nikiwaza jinsi tulivyosimuliwa na Gen.Mabeyo jinsi alivyokua anajifia kitandani peke yake na watu wachache tu - akihangaika kutafuta padri wa kumuungamisha - bila hata familia yake kuwa around.
Nikiwaza jinsi mtu wetu alivyokua shujaa then naona kafungiwa kwenye sanduku - lifeless..anabebwa juujuu....then nikiwaza walivyompeleka mpaka Chato kule wakamfukia kwenye shimo - wakajilizaliza pale wakapanda magari mazito...wakamuacha huko nature imalize kazi yake..walinzi wote wale wakajiondokea na mabunduki yao na suti zao....wasiwe na cha kufanya.
Tangu hapo NILIOGOPA HAYA MAISHA.Yaani kumbe binadamu wote tu sawa tu, yaani kumbe binadamu tunajipa umuhimu lkn nature au Mungu anatuchora tu nakushangaa.

HIvyo wote tunahaki sawa - CHADEMA,CCM, WASIOKUA NA VYAMAA,TLP...hakuna binadamu mwenye kujiona anamamlaka ya kudetermine life la watu - kwamba nimetoa hiki, nimefanya vile -
Nyie vijana mnaosifia mpaka mna-mkejeli Mungu, mnakuwa kama mnatengeneza Mungu wenu duniani hapa.Kuna yule mwamba alimlinganisha Magufuli na Mungu kabisa - ndo mjue watu walivyowanafiki....
Watu wote tuko chini ya sheria - Rais wananchi wote - kama hao CHADEMA wanataka kuandamana..waacheni waandamane kwani ni mara ya kwanza kuandamana, wapewe ulinzi waelekezwe pa kupita..waende...
WATU WANAOTEKA WATU WAKAMATWE - watu wanalalamika tangu kipindi cha Magufuli...kujificha kwenye kutokuwajibika kwa serikali kwenye kivuli cha uchunguzi si sawa.
 
Kwa kauli ya jana, pasi na shaka sasa imethibitika rasmi wauaji na watekaji ndio "wale watu wasiojulikana'
 
Kwa kauli ya jana, pasi na shaka sasa imethibitika rasmi wauaji na watekaji ndio "wale watu wasiojulikana'
Mlizoea na kutaka kuiingiza nchi kwenye machafuko kwa uroho wenu wa madaraka .sasa mmepewa ujumbe kuwa msichezee amani ya Nchi hii
 
Lema alikuwa anamrushia mawe Mrisho Gambo akiwa ng'ambo, hahahahaha....., Shikamoo Mama Saa100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…