Hakuna ugonjwa mbaya kama utapiamlo wa akili!
Kwa hiyo nyie ndio mna hati miliki ya Nchi hii?
Kumbuka Tz ni wa- Tanzania wote na sio ya CCM.
Kumbuka uharibifu wa raslimali za Nchi hii mwaribifu no. 1 ni CCM
Upinzani upo kwa ajili ya maslahi ya Wananchi, na CCM ipo kwa ajili ya maslahi ya wachache!