PostGE2025 Rais Samia: Wananchi walishatoa uamuzi wao kwa CCM 97% CHADEMA na ACT hawakuwepo

PostGE2025 Rais Samia: Wananchi walishatoa uamuzi wao kwa CCM 97% CHADEMA na ACT hawakuwepo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza kwa niaba ya wananchi. Amesema kuwa tayari wananchi walifanya uamuzi katika uchaguzi wa Oktoba 29 na kuichagua CCM kwa asilimia 97%, huku akibainisha kuwa vyama kama CHADEMA na ACT-Wazalendo havikushiriki uchaguzi huo kwa maamuzi yao binafsi na kuwa vyama 16 vilivyoshiriki havikuwa na nguvu ya kuishinda CCM

 
Back
Top Bottom