Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

Asante sana Dkt Hangaya , sasa tueleweshe kwenye kipengere kidogo tu hiki chenye utata , naomba niongee kwa sauti ya chini sana , ni hivi , KAMA TUNALIPA MBONA DENI LAZIDI KUPAA ?

Ni hayo tu
Unakopa Tril 18
Unalipa tril 16
 
Si ndio ‘debt trap’ yenyewe hiyo; nI mwendo wa kukopa na kulipa tu. Sio muda mrefu hela unayokopwa unaanza kupangiwa uitumie vipi.

Hivi toka ameinga madarakani ameshaanzisha ata mradi mmoja wa barabara yenye kilometer 50-200. Interconnection ya mikoa kwa barabara ndio watu wasahau tena hiyo mission imekufa na mwenyewe.
 
Asante sana Dkt Hangaya , sasa tueleweshe kwenye kipengere kidogo tu hiki chenye utata , naomba niongee kwa sauti ya chini sana , ni hivi , KAMA TUNALIPA MBONA DENI LAZIDI KUPAA ?

Ni hayo tu

….vipi impact ya huo msaada kwenye acceleration ya maendeleo?
 
….vipi impact ya huo msaada kwenye acceleration ya maendeleo?
Hiyo ni hoja nyingine inayohitaji mjadala wake , tukiingia huko tutaingilia uzi wa watu , tubaki kwenye deni na marejesho yake ambayo Mkubwa anajinadi nayo , lakini cha ajabu deni linazidi kupaa
 
Congo DRC wala sio deal saizi! Kule saizi wanajenga viwanda kama tulishindwa kutumia fursa zamani kule baada ya mda tutabaki kusafirisha watu na biashara ndogo ndogo!
 
Lazima wataagiza mizigo kupotia bandarini lakini
Ila Kusema kweli kigoma fursa hiyo ipo ila uwepo wa viwanda vingi DRC kutaifanya reli yetu kukosa mizigo kama cement,nondo nk! Lakini pia upande wa Burundi na Rwanda connection na Karemi,Uvira na kabimba ni kubwa! So kwa maoni yangu reli hii ya kwenda kigoma haitakuw atofauti na ya kwenda mwanza!
 
Mimi naamini bandari iliyotakiwa kujengwa ni ya TAzara
TAzara ndio inapita mpaka wa tunduma ambako ndio Kuna mizigo mingi ya DRC na Zambia Hadi Zimbabwe, na Tena ni route fup zaidi kuliko hii ya Kati, sijui kwa Nini hatukujenga Tazara
 
Hapo sawa! Bila kigoma mi nimekaa hapa badari ya kigoma mwaka sasa mizigo unaoongoza pesa ni Construction material na mafuta!

ina maana kadri wanavyojenga viwanda upande wa Congo tusitegemee reli yetu kuwa bize maana hawatakuwa wana agiza bidhaa nyingi kutoka na kupotia kwetu zitabakia kubeba ndugu zetu Waha basi!
 
Mimi naamini bandari iliyotakiwa kujengwa ni ya TAzara
TAzara ndio inapita mpaka wa tunduma ambako ndio Kuna mizigo mingi ya DRC na Zambia Hadi Zimbabwe, na Tena ni route fup zaidi kuliko hii ya Kati, sijui kwa Nini hatukujenga Tazara
Hii ya sasa tu haitumiki, watu wanaikwepa. Ukiwa na hotel nyota 3 alafu bado hupati wateja, solution sio kujenga ya nyota 5 hapo.bali unapaswa kujua kwa nn hiyo ya nyota 3 watu hawalali.

Reli ya tazara kuna shida kubwa ambayo ipo miaka na miaka, inapaswa kutatuliwa hiyo kabla ya kuijenga tena
 
Mama 2025/2030 inamuhusu

Hii kasi ni kubwa sana kwa timu Msoga kumwingilia na kumwambia oooh hali ikiwa mbaya sana sijui nini hapana

Aachwe atekeleze wajibu wake
Mimi nasema kwa Dhati Huyu hata asipokupa sumni neno lake linaondoa utandoutando, mapunye, harara, na kero zote za nafsi na kukuacha na Raha ya Moyo. Kifupi ana tuganga kwa Hotuba zake fupi zenye maneno ya Heri. Sio maneno ya kuua watu na kuwa acha wengine na vihoro.. Inahusuu... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…