Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

Waliwahi 20% ndo maana wakaharakisha
 
Umeandika ujinga kwani reli imeanza kujengwa leo
 
Mimi naamini bandari iliyotakiwa kujengwa ni ya TAzara
TAzara ndio inapita mpaka wa tunduma ambako ndio Kuna mizigo mingi ya DRC na Zambia Hadi Zimbabwe, na Tena ni route fup zaidi kuliko hii ya Kati, sijui kwa Nini hatukujenga Tazara
TAZARA ni Ubia na ZAMBIA hivyo tutagawana faida, nahisi ndio tatizo lilipo. Mm natamani tuwe na Njia nne kutoka DAR TO TUNDUMA
 
Ingekuwa kuna nafasi ya kuwauliza maswali haya papo kwa papo,hawa viongozi wetu wengi wangeshakufa kwa pressure ya kuulizwa maswali yenye akili wakati huo hawana uwezo wa kujibu kwa ufasaha

Haukuona Yusufu alivyoulizwa swali alivyowaka?
 
Hapa napata darasa kwenye hii sentensi yako ya nyota tano kwamba, badala ya kujenga reli mpya tungeboresha iliyopo kwa kiwango kikubwa. Aidha kama ilikuwa lazima kujenga Standard gauge kufuata sera za kikanda na Afrika kunganishwa kwa reli za STG, Basi tungefanya kweli kwa kujenga reli ya STG ya kisasa zaidi kuliko ile ya Morocco kwa Afrika, mabehewa ya kisasa na mwendo tungelenga mkubwa zaidi, kitu kama kilometa 250-300 kwa saa, nchi yetu ni kubwa na inadai bado.
 
Bora hiyo mi nikimuona naona kama ni dalali flani hivi..
Amekaa kidalali dalali sana..
 
TAZARA ni Ubia na ZAMBIA hivyo tutagawana faida, nahisi ndio tatizo lilipo. Mm natamani tuwe na Njia nne kutoka DAR TO TUNDUMA
Ndivyo inavyokuwa hata kwa magari ya Tanzania yanalipa Zambia
Kama tungeshindwana yangeenda mpaka Tunduma kuwe na bandari kavu
 
Hawa wachina si walizingua hawa
Hawakuzingua,kikwete alisaini nao kwa riba ya 2%,magu akabadili mkataba akawapa waturuki kwa riba ya 10%,na hao waturuki wanakopa kwa wachina walewale aliowakataa magu..akili kichwani
 
Tunatokaje kwenye huu mtego wa washamba kutuamulia namna ya kuishi ?🤔
Japo inaudhi lakini ni ukweli, tunaangushwa sana na watu wenye attitudes za kimasikini kila sekta...Kisha utakuta mtu anatamba kabisa mimi nilikuwa nashindia nyanya etc then njoo sasa kwenye maisha yake, anataka tumia kodi ya umma kuishi kifalme...Spending za ajabu ajabu, unakuta mtu mzima anafanya ulimbukeni kwa kodi ya umma...No creativity, no nothing!
 
Unalipa when, where 😂😂😂
 
Tatizo wanakopa na kuwekeza kwenye mambo yasiyo na direct returns. Hivi unaenda kujenga shule kwa pesa ya mkopo kisha utegemee utatoka kwenye debt trap?

Na hujengi kwa nia ya maendeleo, ni kisiasa ili upate political legitimacy, aise, washauri sijui wanakwama wapi? Kama ni kura kwani si kuna miradi ambayo ingeleta returns within a year na uka maximize votes huku ukiongeza pato la kaya ambalo lingejenga hizo shule ndani ya mwaka tena kila kijiji? Experts wetu wa mipango na uchumi, hilo somo la uchumi linawapiga chenga mbaya sana! Wapo kinadharia sana kuliko halisia na moja ya mambo ni hayo ya ulimbukeni, yakutanguliza mkukuta kwanza kabla ya social needs
 
Ukimsikiliza raisi na waziri wake ni watu wanaofanya mambo kwa kudra za mwenyezi mungu, lakini sio watu wenye agenda ya maendeleo.

Main goal yao ni piga ua wakamilishe miradi mitatu tu ya kimkakati inayojulikana zaidi (reli, daraja la busisi na bwawa la umeme), wasichekwe kwa mtazamo wao. As if alietangulia alikuwa amefocus kwenye hayo mambo matatu tu katika infrastructure project zenye long term economic impact.

Kwa wao mambo mengine ni ya TAMISEMI not national agenda na ndipo asilimia kubwa ya mikopo inapoishia. Na kuna ufujaji wa hali juu huko TAMISEMI, imefikia hatua ziara za PM zinakuwa kama anazunguka kucheza ‘whack-a-mole’ na mafisadi (akimaliza kupiga kelele mkoa/wilaya moja kesho anaenda rudia kwengine; nothing changes).

Huko kwenye mikopo tulipokuwa tunaelekea tumeshafika ni swala la muda tu kuambizana ukweli tunakopa ili kulipa mikopo, serikali aina makusanyo ya kulipa yenyewe.
 
Hakuna kitu mbaya kama kuwa "kichwa Nazi" mbaya zaidi koroma.
 
TUMEKUELEWA RAIS WETU SONGA MBELE, VICHWA NAZI WATAKUJA KUKUELEWA BAADAE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…