Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

Kuna haja ya watu kujua, ukiwa kiongozi wa umma kazi yako ni kuwatumikia wananchi na kodi zao ndio zinakulipa wewe mshahara.

KUWATUMIKIA WANANCHI SIO FAVOR KWA MTUMISHI WA UMMA BALI NI LAZIMA MAANA HIYO NI AJIRA KAMA AJIRA NYINGINE. Kumekuwa na tabia ya watumishi wa umma kuona ni favor kwao kutumikia wananchi na kutumikia Taifa huku hiyo ikiwa ndio ajira yao na wanalipwa kwa kazi hiyo.
 
Mama 2025/2030 inamuhusu

Hii kasi ni kubwa sana kwa timu Msoga kumwingilia na kumwambia oooh hali ikiwa mbaya sana sijui nini hapana

Aachwe atekeleze wajibu wake
huko lumumba labda maana wengine mmezuwiwa
 
Hawakuzingua,kikwete alisaini nao kwa riba ya 2%,magu akabadili mkataba akawapa waturuki kwa riba ya 10%,na hao waturuki wanakopa kwa wachina walewale aliowakataa magu..akili kichwani
hii nchi ngumu
 
Nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…