Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kama ni hivyo basi kila mtu alindwe, maana wote ni binadamu tuna damu. Hakuna binadamu aliye muhimu kushinda mwingine!Mashaka ya Lissu yanatokana na alichofanyiwa wakati wa mwendazake, na baadhi ya wale wahuni waliomfanyia Lissu ubaya bado wapo kwenye system mpaka leo.
Ni haki kwa Lissu kuwa na mashaka kwa usalama wake, vyema atoe kauli moja kama mkuu wa nchi Lissu na wenzake wawe na amani warudi nchini.
Samia asiangalie wanasiasa wakubwa tu, atazame na wadogo pia, bado polisi wanahangaika kuzuia hata mikutano ya ndani ya Chadema, hawa wanatakiwa kukemewa.
Kuhusu kauli yake anayogoma kuitolea ufafanuzi juu ya kesi ya Mbowe kwa kuogopa watu kusema mengi, hapo ndipo nakubali tuna Rais mwanamke, kama anaogopa hadi maneno ya watu mitandaoni kazi ipo.
Point taken, mama amemjibu inavyotakiwa.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya DW amesema wanasiasa wakubwa wa upinzani wako wengi nchini Tanzania na hakuna anayeishi kwa mashwaka kwa kuwa hakuna aliyenyukuliwa hata kuumwa na sisimizi, hivyo Tundu Lissu aulizwe mashaka yake ni yapi
Aidha kuhusu kauli yake ya awali iliyookana kuingilia uhuru wa mahakama kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hawezi kuitolea ufafanuzi kwa kuwa watu wanasema mengi hawezi kutolea ufafanuzi kila kitu
Wewe ulishapigwa risasi ngapi na wasiojulikana?Kama ni hivyo basi kila mtu alindwe, maana wote ni binadamu tuna damu. Hakuna binadamu aliye muhimu kushinda mwingine!
Hii ameisema baada ya kukutana na Lisu?
Na asikudanganye mtu.Wasiwasi ndiyo akili...
Alichokisema SSH kuhusu TAL kurejea ni kumkaribisha nyumbani. Katumia busara sana kuwananga mataga na sukumagang[emoji23][emoji23][emoji23]Mama kapiga u turn ya maana!
Ila Lisu nae akili zake anazijua mwenyewe, eti "nataka rais atamke hadharani kwamba ananikaribisha nyumbani"
Sijui anajiona nani huyu jamaa!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mkweli hawezi ficha uongo uliona Inspector Swila yaliyo mpata?..uwezo wa Maza kujibu, au kukwepa, maswali ni wa kiwango ambacho sio kizuri.