Rais Samia, wanasiasa wanaishi bila mashaka, hakuna aliyeumwa hata na sisimizi

Rais Samia, wanasiasa wanaishi bila mashaka, hakuna aliyeumwa hata na sisimizi

Rais anajua aliingizwa mkenge na lile lizee lenye macho makubwa akajikuta anajibu mambo asiyoyajua kuhusu Mbowe.

Kesi ipo mahakamani, mama akaingizwa mkenge kuitolea maelezo halafu akadanganya kwamba kuna wengine walishakamatwa na kufungwa kwa kesi hiyohiyo inayomhusu Mbowe Sasa kwenye hii ameona asiongelee ndio maana akasema hataki kuongelea kwasababu kuna mengi yanaongelewa huko mtaani 😂

She knows better hiyo kesi imemchafua sana na Kuna wahusika wanamdanganya ili achafuke na amegundua nia yao wanafanya ili akwame.

Kuna watu wanahakikisha Lissu harudi na akirudi wanataka wamuue wanajua survival yao ni ndogo sana endapo Lissu na mama wakielewana maana wanajua watakuwa wamekwisha.

Jiulize mtu kama bashite , ndugai, Sirro nk unahisi wanapenda wanaposikia Lissu ameongea na Rais na walikuwa wawili tu nani anajua yaliyoongelewa?

Hao watu ndio wanashinikiza asirudi na ndio waliiba hata passport ya Lissu, sasa unamuibia Lissu mtu mwenye international recognition unadhani utamkomoa? Lissu kwa sasa nadhani atakuwa amebobea kwenye international laws na ndio maana wamemuibia passport na bado anaishi huko kwa special permit.

Wajiandae tu ni sawa na waliokuwa wanasema Rais asikope ilimradi walikuwa wanataka afeli kukamilisha miradi ili wamseme hafai. Jambo la kufurahi ni kwamba Rais anawajua wanafiki wanaotaka afeli anawakaushia tu ndio maana anafanya yale wasiyotegemea.

Lissu, Lema and Wenje watarudi Ila wanaomba ulinzi sababu wale waliokuwa wanawatafuta bado wapo serikalini na hawatakubali wawe exposed watahakikisha wanawaua tu na ndio maana wanaomba ulinzi wa Rais na sio IGP.
Mama ameshasema HAKUNA MASHAKA warudi tu
 
Ukweli ni mdogo sana kwenye haya uliyoandika. Kesi kubwa kama hiyo haiwezi kufanyika bila baraka za Raisi.
Ndio alibariki Jambo ambalo amelikuta likiwa limeanzishwa na kikundi kilichokuwa na Rais aliyemtangulia so akaja kupewa briefing iliyopikwa nae akaingia Chaka.

Kumbuka hii kesi wanadai Mbowe alipamga ugaidi ufanyike wakati wa ushaguzi Ina maana lile kundi maarufu walishaanza kusuka hii kesi kabla hata Magufuli hajafariki.

Bado nina imani kwamba Rais amekuja kujua ukweli baada ya kupitia vizuri facts na majadiliano na baadhi ya viongozi especially ambao hawakuwa sehemu ya kikosi kilichokuwa kinahusika kubambikia watu kesi na mauaji.
 
[emoji871]Amesema ameiachia Mahakama ifanye kazi yake kwa Uhuru na kwa mujibu wa Sheria.

[emoji871]Akiishamfunga Mbowe ndiyo utauelewa vizuri uanamke wake!
Mbowe ni nani ili asifungwe endapo kapatikana na hatia. Wakati mwingine ni vyema fikiri kabla hujaandika kitu.
 
Ndio alibariki Jambo ambalo amelikuta likiwa limeanzishwa na kikundi kilichokuwa na Rais aliyemtangulia so akaja kupewa briefing iliyopikwa nae akaingia Chaka.

Kumbuka hii kesi wanadai Mbowe alipamga ugaidi ufanyike wakati wa ushaguzi Ina maana lile kundi maarufu walishaanza kusuka hii kesi kabla hata Magufuli hajafariki.

Bado nina imani kwamba Rais amekuja kujua ukweli baada ya kupitia vizuri facts na majadiliano na baadhi ya viongozi especially ambao hawakuwa sehemu ya kikosi kilichokuwa kinahusika kubambikia watu kesi na mauaji.
Siyo kweli she knew everything from the beginning and she knows what is going on.
 
Back
Top Bottom