Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume.
Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa wanaume pia wamekuwa wananyanyaswa.
Amewataka wanawake kuacha tabia hii kwani unyanyasaji ni kitu kibaya kisichojali jinsia.