Rais Samia: Wanawake acheni kuwanyanyasa wanaume

Nowdays wanaume wengi wananyanyasika, sema mnajitutumua tu humu ila mnajua vizuri tu hii kitu.

Manyanyaso yapo aina nyingi ,pengine hata usijue unanyanyaswa ukiona ni mapenzi .
 
Usiombe mwananke awe hivi

  • Akuzidi urefu
  • Akuzidi pesa
  • Akuzidi Elimu
  • Awe pisi kali
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume.

Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa wanaume pia wamekuwa wananyanyaswa.

Amewataka wanawake kuacha tabia hii kwani unyanyasaji ni kitu kibaya kisichojali jinsia.
Sii angesema tuu kuwa waachenkutuiga mizinga...mambo ya kutumia tafsida ya nini
 
T
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume.

Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa wanaume pia wamekuwa wananyanyaswa.

Amewataka wanawake kuacha tabia hii kwani unyanyasaji ni kitu kibaya kisichojali jinsia.
Thank you. Na Kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom