Rais Samia: Wanawake acheni kuwanyanyasa wanaume

Rais Samia: Wanawake acheni kuwanyanyasa wanaume

Mwanaume unanyanyaswa na mwanamke kama huna tu hela baas. You find a man cannot provide what do you expect?

Kina mpwayungu village badilikeni bana
Fedha sio suruhu ya kila tatizo, yule jamaa wa mwanza aliyeua mke kwa risasi. pesa ipo na mke alikuwa anatiwa nje kama kawa. sio mateso hayo?
 
mbona yeye anatunyanyasa na tozo hatuongei!
tuzo ni zaidi ya manyanyaso.
 
Tulirithi SHERIA za Ki jinga toka KWA mwingereza ambazo zinaweka wazi kuwa mwenye haki kwanza ni Mtoto,then mwanamke halafu KWA mbinde Sana ndio mwanaume!!

Halafu mnashangaa kwanini wanaume wanaogopa kuoa Kisheria kwa cheti coz wanajua wakishafata utaratibu ule wanakuwa wameweka rehani maisha yao!!Tunaona bora uchumba sugu kuliko CHETI! CHETI no kifo KWA wanaume hasa ukiwa mmeshazaa Watoto unakuwa huna haki likitokea la kutokea uhusiano ukafika Mwisho unadhulumuka kisa Watoto bna mama yao!!!

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Back
Top Bottom