Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Mwanaume unanyanyaswa na mwanamke kama huna tu hela baas. You find a man cannot provide what do you expect?Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume.
Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa wanaume pia wamekuwa wananyanyaswa.
Amewataka wanawake kuacha tabia hii kwani unyanyasaji ni kitu kibaya kisichojali jinsia.
kwo nkikosa hela n sahihi ninyanyaswe??Mwanaume unanyanyaswa na mwanamke kama huna tu hela baas. You find a man cannot provide what do you expect?
Kina mpwayungu village badilikeni bana
NDIOkwo nkikosa hela n sahihi ninyanyaswe??
😂😂😂😂VICOBA Yaani wakilipwa VICOBA siku hio.....
Manyanyaso ya kisaikolojia. Hapa kuna manzi inataka niikope 10 millions, si matusi haya na udhalilishaji 🤠🤠🤠kabisa, mizinga ni manyanyaso tosha
Wakipewa hela ndo mateso huanza au?VICOBA Yaani wakilipwa VICOBA siku hio.....
Inakuwaje?VICOBA Yaani wakilipwa VICOBA siku hio.....
Jamani😂😂😂VICOBA Yaani wakilipwa VICOBA siku hio.....
🥶Manyanyaso ya kisaikolojia. Hapa kuna manzi inataka niikope 10 millions, si matusi haya na udhalilishaji 🤠🤠🤠
Unafukuzwa kitaalamu 😧🥶
🥶🥶🥶😩
Wavulana wanaolalamika kuliwa nauli wamepata mtetezi🤣🤣🤣Rais Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Utume wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) amesema kuwa wanawake huwanyanyasa pia wanaume.
Amesema kuwa jamii huwasikiliza sana wanawake kwa kuwa wao ndiyo hulia sana tofauti na wanaume lakini ukweli ni kuwa wanaume pia wamekuwa wananyanyaswa.
Amewataka wanawake kuacha tabia hii kwani unyanyasaji ni kitu kibaya kisichojali jinsia.
hahaha noma sana, mpeleke Ustawi kwa unyanyasajiUnafukuzwa kitaalamu 😧
Kesi ya nyani unapeleka kwa sokwe 😧hahaha noma sana, mpeleke Ustawi kwa unyanyasaji