Tulirithi SHERIA za Ki jinga toka KWA mwingereza ambazo zinaweka wazi kuwa mwenye haki kwanza ni Mtoto,then mwanamke halafu KWA mbinde Sana ndio mwanaume!!
Halafu mnashangaa kwanini wanaume wanaogopa kuoa Kisheria kwa cheti coz wanajua wakishafata utaratibu ule wanakuwa wameweka rehani maisha yao!!Tunaona bora uchumba sugu kuliko CHETI! CHETI no kifo KWA wanaume hasa ukiwa mmeshazaa Watoto unakuwa huna haki likitokea la kutokea uhusiano ukafika Mwisho unadhulumuka kisa Watoto bna mama yao!!!
"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"