Rais Samia: Wangapi wanataka kuwa Marais

Rais Samia: Wangapi wanataka kuwa Marais

Sijaona cha maana zaidi ya kufagilia usislamu wa visiwan..as if nchi hii niya wavaa kobazi.

Kulikua na haja gani ya kwenda msikitini..basi angeenda na kanisani na kwenye mapango ya kutambikia mana hii nchi ina kila aina ya imani.

Kingine picha ni low quality..yule prof sijui daktari wa UDSM alikua sahihi kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
wewe ndio umedownload low quality
 
Wanajua wananchi watachukia. Lakini wanasahau kwamba hii ni karne ya teknolojia,
Kwahiyo unasema Wananchi watachukia wakisikia kuwa Punguwani alikufa kwa Complications zinazoletwa na Kirusi cha Covid19?

Tokea awali WHO ilisema Watu ambao wanatakiwa wajichunge zaidi ni wale wenye underline conditions kama Kisukari Presha Moyo nk.

Yeye Hayati Punguwani ilifikia wakati alipewa Tuzo ya kuishinda Pandemic hatari katika karne hii.

Wanaoumia ni Mapunguwani kama yeye Marehemu.
 
Kifupi hiyo documentary ni takataka na ndio maana Serikali inatumia nguvu kubwa kuipromoti. Huku Kanda ya Ziwa ndio hatuitaki kabisa ndio maana hii kanda haimo kwenye ratiba ya uzinduzi.
 
Sijaona cha maana zaidi ya kufagilia usislamu wa visiwan..as if nchi hii niya wavaa kobazi.

Kulikua na haja gani ya kwenda msikitini..basi angeenda na kanisani na kwenye mapango ya kutambikia mana hii nchi ina kila aina ya imani.

Kingine picha ni low quality..yule prof sijui daktari wa UDSM alikua sahihi kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Tanzania safari channel ina vitu adimu zaidi ya hiyo documentary
 
Kifupi hiyo documentary ni takataka na ndio maana Serikali inatumia nguvu kubwa kuipromoti. Huku Kanda ya Ziwa ndio hatuitaki kabisa ndio maana hii kanda haimo kwenye ratiba ya uzinduzi.
Inaonyesha wazi baathi yenu mnachuki.Ila kwa tabia yenu mliyoionyesha czan km mtapata mtawala kutoka huko tena.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Afute na kile wanashikana mikono. Kinakela wengi pia. Ooh Yeah

Style ile huwa inatumika kwenye mambo ya kufunga ndoa iwe ni Baba Mkwe anaenda kukabidhi bintiye kwa mkwe/wakwe ama hii nyingine.
 
Sijaona cha maana zaidi ya kufagilia usislamu wa visiwan..as if nchi hii niya wavaa kobazi.

Kulikua na haja gani ya kwenda msikitini..basi angeenda na kanisani na kwenye mapango ya kutambikia mana hii nchi ina kila aina ya imani.

Kingine picha ni low quality..yule prof sijui daktari wa UDSM alikua sahihi kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Acha kukashifu dini ya watu wewe punguani.Kwani dini imekukosea nini?Firauni mkubwa wewe
 
Hayo ni madogo uki compare na zile hasara za kujenga International Airport Kijijini.
Usiwe na makengeza hata kijijini pia wanahitaji airport kwani kitabaki kijiji maisha? Ona mbali ndugu after all ile airport imeshaanza kuw busy ndege zinatua mara tatu kwa wiki kuna wachimbaji na madalali wa madini kutoka Geita wanaruka ulizia ATCL utaelezwa labda utaondoa gundu ulilo nalo kwa JPM
 
Back
Top Bottom