Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya!

Hatawa mwandani wako wanaukiri ukweli huo hawataki kukwambia ukweli.

Nyetere alisema pamoja na kura kuonesha kuwa watu wanataka mfumo wa chama kimoja, lakini ualisia na muda hauko hivyo! Akashinikiza mfumo wa vyama vingi.
katiba si muhimu sana 🐒

hata na hivyo, baada ya uchaguzi mkuu ujao 2026 itatathminiwa kuona kama pendekezo hilo linafaa 🐒

Tuko pazuri, tunaelekea pazuri


R I.P.Laigwanan comrade ENL
 
wanaojidai hakuna umuhimu wa katiba wanajitoa tu ufahamu kwa kuchomoa betri za makalio yao
 
iwe katiba ya1977 inafaa au haifai suala la muda ni muhimu sana kuzingatiwa, kuna mabadiliko mengi ya kiuchumi,kisiasa na kijamii yanayohitaji mwenendo mpya wa kikatiba.
Hayo ni maelezo ya jumla,elezea katiba ya zamani inazuwia vipi maendeleo ya kilimo na viwanda!?..inaathiri vipi elimu!!?
 
Huyo mama hataki katiba mpya, kashalamba asali huyo, atengeneze katiba inayowabana Ili wakaibe wapi?
 
Back
Top Bottom