Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

katiba si muhimu sana 🐒

hata na hivyo, baada ya uchaguzi mkuu ujao 2026 itatathminiwa kuona kama pendekezo hilo linafaa 🐒

Tuko pazuri, tunaelekea pazuri


R I.P.Laigwanan comrade ENL
 
wanaojidai hakuna umuhimu wa katiba wanajitoa tu ufahamu kwa kuchomoa betri za makalio yao
 
iwe katiba ya1977 inafaa au haifai suala la muda ni muhimu sana kuzingatiwa, kuna mabadiliko mengi ya kiuchumi,kisiasa na kijamii yanayohitaji mwenendo mpya wa kikatiba.
Hayo ni maelezo ya jumla,elezea katiba ya zamani inazuwia vipi maendeleo ya kilimo na viwanda!?..inaathiri vipi elimu!!?
 
Huyo mama hataki katiba mpya, kashalamba asali huyo, atengeneze katiba inayowabana Ili wakaibe wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…