Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya majitaka.
Amesema kuwa miundombinu ya soko hilo ikisimamiwa vyema itachangia kuwepo kwa mazingira rafiki kwa wafanyabiashara na wananchi wanaotumia soko hilo.
Itakumbukwa kuwa mara kadhaa baadhi ya wadau wamekuwa wakilalamikia kero ya majitaka katika mitaa mbalimbali ya Karikoo, wakidai kuwa suala hilo ni changamoto inayohitaji suluhu, kutokana na kusababisha kadhia ya harufu na kuhatarisha usalama wa afya za wananchi.
Pia soma:
~ RC Dar na mamlaka nyingine, hamjaona chemba zinavyotiririsha maji taka Kariakoo?
~ Usafi wa chemba zinazotililisha majitaka kwa muda mrefu Kkoo ulingojea ratiba ya ujio wa Rais?
~ Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?