Nawe boss sasa unaonesha mapungufu ya elimu yako. Woga uko wapi? Kwani ushujaa ni kukubali ujinga? Elimu yetu inatofautiana nini na Kenya, Malawi na Zambia? Wote tulirithi british system! Kwani huoni mtego huo kweli? Umeona tofauti ya trade na investment balance? Kama kwao wanabaguana kikabila, unategemea investment ya Mkenya aajili m-TZ hapa TZ? Pole!
Kama wote tuna Mfumo sawa wa elimu mbona sisi tunawaogopa Sana wao?basi tuachwe kwenye uwanja mmoja ili tujue ni Nani mwenye uwezo wa kukabiliana na mazingira yetu as EAST AFRICA!
Mama Samia fungua mipaka Ila uangalie Sana Mfumo wa elimu,masomo tunayosoma darasani hayasaidii kabisa mtanzania kuingia kwenye ushindani zaidi ya kuzalisha wavivu na vipofu wa fursa!!
Mjinga hawezi kumuibia mwerevu,Kama sisi ni werevu tusiogope kuingiliana na wakenya kwani wao ni watu wa kawaida Sana!
Mama angalia ELIMU,ELIMU,ELIMU.