Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

Ushakuwa msemaji wa Mh. Suluhu? Hata hakujui, so hata sijui tunabishana nini na wewe. Wacha tubaki kuwa wakimbizi, hayo hayakuhusu,ila ujue KE tutabaki kuwa majirani zenyu mpaka kiama!
Nawe unachekesha! Mambo ya KE unasema hayatuhusu, lakini ya TZ unayakakamalia utadhani yanakuhusu. Please, garder le silence!
 
Mji upgrade sasa Ili muweze kupanda juu ndo hivyo viongozi wenu washakubali mjichanganye mkizubaa na kutamani kubaki chini wenyewe watakuja kuwekeza na huo ujanja wao wanaendelea kuwa juu.
Kwanza ni mwakani tu wataingia uchaguzi, watapigana kiasi na kuuwana, baadaye tutawapatanisha halafu watatunga katiba mpya na kuanza mambo mapya.
 
Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu.

Wakenya wanahofia TZ kiasi kwamba hawataki hata apewe ajira za ofisi za UN ambazo siyo za Serikali yao. Mama Tibaijuka anaelewa alivyokuwa anapigwa vita na Wakenya. Wako tayari nafasi ichukuliwe na mtu wa nje ya EAC kuliko Mtanzania.

Mtego huu uliwahi letwa hapa kwenye suala la ardhi eti waruhusiwe kumiliki ardhi TZ na Watanzania waruhusiwe kumiliki ardhi Kenya. Ilishindikana maana TZ tulijua hakuna uwezekanao wa m-TZ kumiliki ardhi Kenya.

Rais epuka mtego huo usio na faida kwa Tanzania.
Kazi gani wataenda kufanya Kenya ,Wakenya wenyewe wanaomaliza vyuo wanasukuma mikokoteni ,sembuse Mtanzania upate kazi kenya ambako licha ya kuwa na wasomi wengi wasio nakazi pia ukabila umetamalaki.Tuacheni haya maigizo.
 
Haya unachozungumza ndio uhalisia wa huko Kenya?? Ni Kenya ipo hiyo?
Kenya mjaluo hataki hataa kumsikia mkikuyu achilia mbali mtanzania
Ukienda na kuondoka wa kwa sio shida, shida nenda kaishi rasmi.
Umesahau Jaguar na watu wake walivyotaka kuwatimua wamachinga wa kitanzania?
Imagine, wamachinga tu ambao hawapati chochote walikuwa wanawaonea wivu, Leo ije kuwa wewe kwenda kufanya kazi au kufungua kampuni kwao.
Huyo cool d anazungumzia nadharia. Kama ni m-TZ mwenye mawazo kama hayo, basi ni bwege, hajitambui. Yaani anategemea aweke vigezo gani vya kuajiliwa na M-mkenya? Hizi nchi zote zimeshakuwa saturated na graduates. Kuna taaluma gani inayotafutwa na waajili ktk nchi hizi na watu hao hawapo?

Ukiona mtu anazungumzia kushindana ktk soko la ajira kwa mazingira ya kikabila ujue huyo ni bwege tu! Ukizubaa wakenya wataleta investment zao hapa na wanakuja na vijana wa kabila lao. m-Tz akipeleka investment KE akijaribu kuweka m-TZ ofisini anapigwa vita.
 
Huo ni uchawi sasa!
Pole, It happened, it will happen! Kenya hiyo haitakwisha na ndo kigezo cha backwardness. Ukweli Kenya inatupa shida tu! Wanajidai superiority kwa TZ lakini kila wakikatana mapanga refuge ni TZ. hakuna anayekwenda Uganda, wala Somalia, wala S.Sudan, wala ethiopia.
 
Watanzania tunaogopa vitu vya ajabu ajabu Sana!!
Bila kubadilisha Mfumo wa elimu yetu,tutaanza kujiogopa hata sisi wenyewe!!!

Mama SAMIA angalia Mfumo wa Elimu yetu kutoka primary mpaka University,Kuna kazi ya kufanya hapo.
Elimu tuipatayo Sasa hutufanya kuwa vipofu!
Watanzania leo leo tunatunawaogopa hata wanyarwanda😲😲😲,siyo muda tutaanza kuwaogopa SOUTH SUDAN🤣🤣.
 
Watanzania tunaogopa vitu vya ajabu ajabu Sana!!
Bila kubadilisha Mfumo wa elimu yetu,tutaanza kujiogopa hata sisi wenyewe!!!

Mama SAMIA angalia Mfumo wa Elimu yetu kutoka primary mpaka University,Kuna kazi ya kufanya hapo.
Elimu tuipatayo Sasa hutufanya kuwa vipofu!
Watanzania leo leo tunatunawaogopa hata wanyarwanda😲😲😲,siyo muda tutaanza kuwaogopa SOUTH SUDAN🤣🤣.
Nawe boss sasa unaonesha mapungufu ya elimu yako. Woga uko wapi? Kwani ushujaa ni kukubali ujinga? Elimu yetu inatofautiana nini na Kenya, Malawi na Zambia? Wote tulirithi british system! Kwani huoni mtego huo kweli? Umeona tofauti ya trade na investment balance? Kama kwao wanabaguana kikabila, unategemea investment ya Mkenya aajili m-TZ hapa TZ? Pole!
 
Nawe boss sasa unaonesha mapungufu ya elimu yako. Woga uko wapi? Kwani ushujaa ni kukubali ujinga? Elimu yetu inatofautiana nini na Kenya, Malawi na Zambia? Wote tulirithi british system! Kwani huoni mtego huo kweli? Umeona tofauti ya trade na investment balance? Kama kwao wanabaguana kikabila, unategemea investment ya Mkenya aajili m-TZ hapa TZ? Pole!

Kama wote tuna Mfumo sawa wa elimu mbona sisi tunawaogopa Sana wao?basi tuachwe kwenye uwanja mmoja ili tujue ni Nani mwenye uwezo wa kukabiliana na mazingira yetu as EAST AFRICA!
Mama Samia fungua mipaka Ila uangalie Sana Mfumo wa elimu,masomo tunayosoma darasani hayasaidii kabisa mtanzania kuingia kwenye ushindani zaidi ya kuzalisha wavivu na vipofu wa fursa!!

Mjinga hawezi kumuibia mwerevu,Kama sisi ni werevu tusiogope kuingiliana na wakenya kwani wao ni watu wa kawaida Sana!

Mama angalia ELIMU,ELIMU,ELIMU.
 
Upo sahihi na hapo ndipo tunatakiwa kuwa makini. Ukweli ni kwamba hakuna nchi inayotaka kupitwa kimaendeleo na nchi ingine. Ila wahenga walisema "Mchawi mpe mwanao akulelee "

USA na China zinaupinzani Mkali sana kiuchumi lakini USA ndio nchi yenye uwekezaji mkubwa China especially kwenye upande wa viwanda.
Leo hii ukimwambia USA avifunge viwanda vyake china hatokuelewa, pia China ukimwambia aviondoe viwanda vya USA vilivyoko nchini mwake hatokuelewa sababu hapo kuna win win situation, yani kila mmoja anaangalia ni nini anakipata na sio ni nini mwenzake anakipata.

Kuna Shida gani kama ushirikiano wetu na Kenya itaonekana Kenya ndio mfaidika mkubwa japo sisi hatupotezi chochote na pia tunapata faida ya kutosha japo sio ya kufuru kama atakayoipata mshirika mwenzetu?
Mawazo mazuri. Na huu ndo ukweli. Hivi kuna shida gani kushirikiana na Kenya? Mbona kipindi cha Kikwete hali ilkua shwari, kwa nn sasa?

Ni bora tuwaruhusu wahindi wafanyr kila kitu ila sio wakenya, jirani zetu? Hapa hoja ni free trade, na sio kumiliki ardhi, alafu Tz sera zetu za ardhi ni tofauti na kenya...sisi ardhi ni mali ya serikali..mgeni anawezaje kumilki ardhi kwetu kama sisi wenyewe ni wapangaji tu kwenye ardhi?

Suala la ajira lazima utaratibu utawekwa..ratio ya wageni kwenye ajira. Hakuna kitu kinafanya bila utaratibu. Ndo maana kenyatta akatymia neno kufuata taratibu na sheria zilizopo.
 
Mama shikamo! Umecheza karata yako vizuri kidiplomasia.

Hotuba yako imemuingiza Fridom’ king naye akajaa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom