Rais Samia: Watanzania tuwe macho dhidi anayetaka kutugawa, kutuchochea na kututumia kuhatarisha amani na utulivu tulionao

Rais Samia: Watanzania tuwe macho dhidi anayetaka kutugawa, kutuchochea na kututumia kuhatarisha amani na utulivu tulionao

Libibi liuaji utadhani linanaanisha linachosema ...

Mungu aliue na yeye km alivyopiga risasi vijana wa kitanganyika
 
Unapasha chuma kwenye moto mkalii..... mpaka kiwe chekundu. Then una mwambia akalie dk 3 tu. Halafu aende zake. 🗑
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani, usalama na utulivu wa nchi, akieleza kuwa ndio msingi mkuu wa maendeleo na mafanikio yote yanayopatikana katika sekta mbalimbali, ikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi.

Akizungumza leo jijini Dodoma wakati akihutubia wananchi katika kilele cha Maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika katika Viwanja vya Nzuguni, Rais Samia ameeleza kuwa bila kuwepo kwa amani na utulivu, mafanikio yote yaliyofikiwa katika sekta za uzalishaji hayataweza kuwa na maana yoyote kwa taifa.

Aidha, ametoa wito kwa Watanzania kuwa macho dhidi ya viashiria au watu wanaolenga kugawa au kuchochea mfarakano miongoni mwa wananchi na kuhatarisha amani ya nchi.

“Niwasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuilinda amani ya nchi yetu na tuwe macho dhidi ya yeyote anayetaka kutugawa, kutuchochea na kututumia kuhatarisha amani na utulivu tulionao. Tusimpe nafasi mtu wa aina hiyo,” -Amesema Rais Samia
Asante sana mh.Rais,
vijana wa wazalendo wa taifa hili tuko imara kulinda umoja, amani na usalama wa taifa letu kwa nguvu zote na kwa wivu mkubwa zaidi 🐒
 
Ujinga..huu!!
Yeye ndiye anavuruga Amani mbona!!!?
Wapi Polepole,Mdude,Matokeo ya Tume ya Mauaji ya Mzee Kibao,Utekaji..nk!!!!!??
 
Asante sana mh.Rais,
vijana wa wazalendo wa taifa hili tuko imara kulinda umoja, amani na usalama wa taifa letu kwa nguvu zote na kwa wivu mkubwa zaidi 🐒
Mkuu sis vijana wenu mkuu mbona tunateseka nisaidie ata hela ya kula Leo jioni ,
 
amani ipi na utulivu upi ukiongea kidogo tu unapewa kesi ya ugaidi, au kuwindwa na wasiojulikana...
 
Back
Top Bottom