Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipasho tuu hakuna lolote,Mara Chura,Mara,Mbwa,Mara Simba mara kijungu cha pwaga.Hivi mpaka sasa ipo hata speech stunning inayoweza kuiweka ikitokea hatunaye duniani? Lete ushahidi
Kuleni Kwa urefu wa kamba yenu msivimbiweHivi mpaka sasa ipo hata speech stunning inayoweza kuiweka ikitokea hatunaye duniani? Lete ushahidi
Huyu bibi ni mtu hatari snKwa hiyo tayari nafasi ya mama Maria Nyerere imechukuliwa rasmi, kazi ipo..
Analipwa pesa nyingi halafu hakuna la maana anafanyaMipasho tuu hakuna lolote,Mara Chura,Mara,Mbwa,Mara Simba mara kijungu cha pwaga.
Mkalitazame
Kwani kuna utofauti gani wa lissu na mtoto?Kuitwa mama ndio amwite Lissu mtoto?
Acha ujinga wako hapa wewe.Huyu bibi ni mtu hatari sn
Uwage na adabu wewe!Huku baba, huku mama..
Ningekuwa mie RAILA ningejiongeza tu. mtoto kaishaelekea kibla. 😂
Kwani baba Abdul anasemaje kuhusu hili?!Rais Samia amesema Tanzania inamuunga mkono Raila Odinga kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Rais Samia amesema Watanzania wanasema " baba anatosha"
Soma Pia: Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga
Source Citizen TV
Hakuzungumzia chochote juu ya "African Union" na uongozi wake?Rais Samia amesema Tanzania inamuunga mkono Raila Odinga kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Rais Samia amesema Watanzania wanasema " baba anatosha"
Soma Pia: Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga
Source Citizen TV
Ina maana kubwa Sana kwenye siasa. Kumbuka Mama anakubalika Sana na kuheshimika ukanda huu wa Afrika mashariki , hiii imekuwa kama fursa kwa rais Rutto kurudisha nchini Hali nzuri ya hewani baada ya kadhia za GEN- Z. UWEPO wa Ruto kumuunga mkono Baba na Mama wa afrika mwenye jina la usuluishi( SULUHU) Kutaondoa mess na kuunganisha watoto waliokuwa na itikadi tofautiRais Samia amesema Tanzania inamuunga mkono Raila Odinga kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Rais Samia amesema Watanzania wanasema " baba anatosha"
Soma Pia: Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga
Source Citizen TV
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu sawa...hapa Tanganyika tunamuita CHURA.
Maza hana mvuto tenaHuku baba, huku mama..
Ningekuwa mie RAILA ningejiongeza tu. mtoto kaishaelekea kibla. 😂
Ndiyo anachoweza kusafiri pekee, akirudi ataanza kuteua keshoHakuzungumzia chochote juu ya "African Union" na uongozi wake?
Kaenda Nairobi kwa gharama kubwa kwenda kusema mipasho ya "Mama na Baba" wa Tanzania na Kenya?
Kuna viongozi hapa Afrika akili zimelala, lakini huyu wetu atakuwa katika ligi yake mwenyewe.
Nitakushughulikia wewe mjingaAcha ujinga wako hapa wewe.
Nasikitika kusema, lakini nafikiri huyo bwana ni zaidi ya CCM kwa ubovu wake. Akipata nafasi hiyo ya uenyekiti wa Komisheni, ni kwa sababu ya washindani wake kuwa dhaifu zaidi au vi-nchi vyao kutokuwa na uzito wa ushawishi mkubwa kuwaunga mkono wagombea wao.Raila nae ni ccm tu
Walisoma pamoja na kukaa chumba kimoja bwenini Magufuli na Odinga wakisoma chuo kikuu cha Dar es salaam .Ulitakaje urafiki wao ufe kisa mmoja mkenya mwingine mtanzania au kwa kuwa wako vyama tofauti?Alikuwa anakwenda sana Chato enzi za Shujaa Magufuli 😄😄🌹