DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Achana na wabunge, ushawahi kusikia Waziri au Rais akilalamikia stahiki zake? Lakini wote Ni watanzania, wanalipwa Kwa jasho la walipwa kwa kodi yao?
 

Duh.
 
Hivi wanajeshi wakistaafu huduma za afya huzipaje? Bure, kwa bima ama wanapambana na hali zao.
 
Sisi raia tunadhangazwa sana na serikali isiyojali haki za essentials wake.

Lakini ninyi nanyi mmekuwa mkiwakandamiza sana raia ambao mlipaswa kuwalinda. Kwenye mizania ya demokrasia jeshi ni eneo muhimu na nyeti kwani ndipo nguvu ya taifa ilipo.

Mungu awajalie hitaji lenu
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Namfahamu mstaafu anayelipwa na hazina pensheni shilingi 110,000 kila mwezi ingawa ametumikia umma miaka 34. Sasa ana umri wa miaka 83. Ataishi vipi?
 
Safi sana.
Tena wakafie mbali kabisa.

Walipokuwa wanavaa hayo magwanda si walikuwa wanaona mambo ni shwari tu.
 
Mmmh! Katika chaguzi mbalimbali zliizopita mlitumika na kutumiwa vibaya na serikali ili kuifanya CCM ishinde kwa njia za wizi. Oneni sasa! Hata kile kidogo mlichostahili kukipata sasa watawala wanakichukua kwa hila na nguvu toka mikononi mwenu.

Hili liwe funzo kwa wenzenu. Wataumika na kutumiwa vibaya, lakini watajikuta siku moja nao wananyonyolewa manyoya kwa sababu ya usaliti wao kwa umma walioshiriki kuufanya.
 
Mwiba Mbaya Sana Huu, Serikali Imekalia Dhulma, Ghiriba
 
Unamuomba Raisi akusaidie!!
Mama halipendi jeshi lenu la polisi. Lia kimya kimya mkuu. Kuna wenzenu tunaongea nao wansema wamestaafu wakidai pesa ya kusafisha mizigo, nights na malipo ya uhamisho na hajui watalipwa lini. Mlifaidi kuiingiza ccm kwa nguvu madarakani kwa kutupiga virungu kwa sasa nyie ni used condoms zoeeni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…