DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Maisha si rafiki sana...

Popote ulipo jitahidi uwe "down to to earth" usubiri Mungu anavyokupangia.....

#Maisha ni fumbo
 
nyie si ndio mnailinda CCM kwa udi na uvumba....tulieni muilambe dawa simbilisi nyie, tena mfe midomo wazi kabisa
 
Mleta Uzi alitegemea atapata msaada AU ushauri.
Kumbe anaambulia matusi.

Vyombo vya ulinzi badala villnde nchi Wao wanalinda wanasiasa.

Vyombo vya ulinzi na usalama vinajenga chuki na wananchi.

CCM mnalaana mbw@ nyie.
Mmeifanya nchi imekuwa ya hovyo sana
 
Kuna watumishi wanaofanya kazi jeshini mfano baadhi ya waalimu, kada ya afya, baadhi ya makarani n.k nadhani hawa ndiyo wahanga wa hili swala. Kwenye mifuko ya jamii wanajeshi hawachangii ila watumishi wa kiraia wanachangia. Mtoa mada angeweka wazi ili watu wajue pa kuanzia kusaidia kuokoa jahazi.
 
Kweli hawa ni wajeda au sound tu?

Sasa unamchelewesheaje mjeda haki yake???

Kweli fahari ya vijana ni nguvu zao

Hawa jamaa nao wanawekwa kati kweli maisha duara najuaga hawa hawadai chochote
Ni polisi hao
Na sio jw
 
Wewe utakuwa huna akili kabisa,una bunduki halafu bado unaomba kwa unyonge.
 
Mkivaa yale magwanda mnajionaga miungu watu,pambaneni na hali zenu wazee wangu
 
Nyie si mlipinga Bandari kuuzwa mkajulikana. Kuleni jeuri yenu sisi ni DP World basi.
 
Wastaafu gani walilipwa vizuri miaka hiyo ya 1990 ndugu yangu?
 
Mtakoma, mkiambiwa kudai katiba mpya mnaona itamnufaisha Mbowe, tukiwaambiwa mifumo ya nchi hii ni mibovu sn.
 
wakome
 
Nimesoma andiko vzri kwanza nimeumia lakini pia nimesikitika sana [emoji22]...... kumnyima mtu hakiyake ya msingi ni kitu kibaya sana .....naamini kupitia uzi huu wahusika wataona na hakizenu zitapatikana ...... pia nikupongeze kwa mwandiko mzuri uliyo pangika [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…