Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote.
"Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote tulishikana. Na ndio maana ilipandisha asilimia 97 ambayo leo wale wasiotutakia heri wanaihoji."
"Sasa wakihoji mimi nawauliza, hamkuona kampeni zilivyokwenda? Hamkuona kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa Zanzibar na Bara? Wanahoji kitu gani?"