Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Hesabu zisipopanda mtu hajui kuwa 98% ni kufikirika.Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote.
"Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote tulishikana. Na ndio maana ilipandisha asilimia 97 ambayo leo wale wasiotutakia heri wanaihoji."
"Sasa wakihoji mimi nawauliza, hamkuona kampeni zilivyokwenda? Hamkuona kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa Zanzibar na Bara? Wanahoji kitu gani?"
Hata wajomba wote wa Oman wangekuja kupiga kura , mbele ya watanganyika 60 million hesabu inakataa kabisa.
Mtu amkumbushe tu mama kuwa kung'ang'ania ndambi uliyoifanya(uchaguzi wa fake 98% na Okt29 massacre) inaonyesha moyo wa kiburi na kutojutia makosa.
At any rate karma inakuja.