Acha ukuma,Kazi kubwa uliyochapa ndo imekupa ushindi mnono mama!!
Leo ndio nimeelewa maana halisi ya huu msemo😁Aibu utaona wewe! 😅
Mkwere ndio katuletea hili balaa.😭😭😭😭😭Pole Sana Tanganyika.. Pole mno my beloved motherland... Sasa wanapongezana wakati sisi bado tunaomboleza😭😭😭
True 💯TAnganyika inapitia katika moja ya its darkest periods ever
😅😅😅Leo ndio nimeelewa maana halisi ya huu msemo😁
Kikwete alitukisea sana Watanganyika. Hapo ukijibu unapewa kesi ya ugaidi.Duh anapenda watu wawe magaidi avunje record ya kukamata magaidi wengi.
Kwaiyoo anaimini alishinda 97% Tanzania bora nilihama.
Hesabu anajua sasa?!The worst regime of our nation! Watu laki tano wapandishe ushindi wa wapiga kura 30m+ kwa asilimia 97?
Noma sana!
Inasikitisha sana mkuu,Hesabu anajua sasa?!
Inasikitisha sana mkuu,
Kweli watu wasiofika milioni wafanye kura zaidi ya milioni 30 zilete 97%. Nimechoka sana!
Unajua inawezekana kabisa Samia anaamini haya?Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote.
"Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote tulishikana. Na ndio maana ilipandisha asilimia 97 ambayo leo wale wasiotutakia heri wanaihoji."
"Sasa wakihoji mimi nawauliza, hamkuona kampeni zilivyokwenda? Hamkuona kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa Zanzibar na Bara? Wanahoji kitu gani?"
Kwa statistics zipi? Hata wanzanzibar wote( including watoto wachanga) wapige kura mara 3 kwa kujirudia hawakupi ushindi wa 97%Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote.
"Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote tulishikana. Na ndio maana ilipandisha asilimia 97 ambayo leo wale wasiotutakia heri wanaihoji."
"Sasa wakihoji mimi nawauliza, hamkuona kampeni zilivyokwenda? Hamkuona kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa Zanzibar na Bara? Wanahoji kitu gani?"
Unajuaje kama 2030 atatoka ?2030 sio mbali mkuu yatapita tu! Japo tutapitia mengi
Zanzibar inazidiwa population na geita tu hapo huyu mama anashida ya akili si bureKwa statistics zipi? Hata wanzanzibar wote( including watoto wachanga) wapige kura mara 3 kwa kujirudia hawakupi ushindi wa 97%
Hafiki 2030 huyu mbwa na chama chake2030 sio mbali mkuu yatapita tu! Japo tutapitia mengi
Haunizidi!I hate u samia,