Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,601
- 34,760
Nime editDah!
Samia ni Rais?
Nime editDah!
Samia ni Rais?
Sio spiritual war labda useme religious war. Spiritual war ipo hata kabla dunia haijaumbwa!siku mtakuja kuelewa kwamba this is a spiritual war ndiyo mtaweza kuanza kupata ushindi na kujikomboa lkn kama mnafikiri ni sijui siasa za ccm vs chadema basi no chance of winning, muslims wako vitani against the so called "mfumo Kristo" for last 100 years na sasa wanakaribia ushindi na ndiyo maana wana arrogance kwa maana wanajua msio yajua ...
Hivi kwa nn bado anapenda kuzungumzia mambo mabaya ya uchaguzi ? Hajui tu anatutonesha maumivu ?? Au anapenda kuendelea kutukanwa ?
Yeye yake yanaenda lakiniKikwete alitukisea sana Watanganyika. Hapo ukijibu unapewa kesi ya ugaidi.
Kuna mambo kihesabu siyaelewi, kimantiki siyaelewi. Kuna maridhiano halafu uchaguzi ulikuwa safi..Na kama uchaguzi wa Znz ulikuwa mzuri kwanini kuna mazungumzo ya maridhiano baina ya Ccm na ACT?
Ushauri mzuri hasa nyakati hizi ambazo Umma umegoma na umegomea propaganda..Huyu Mama nadhani awe anaandikiwa hotuba asiachwe akazungumza mawazo yake.
Zanzibar ina watu ambao hawazidi milioni tano,hizo asilimia 98 zilipatikana vipi?Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote.
"Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote tulishikana. Na ndio maana ilipandisha asilimia 97 ambayo leo wale wasiotutakia heri wanaihoji."
"Sasa wakihoji mimi nawauliza, hamkuona kampeni zilivyokwenda? Hamkuona kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa Zanzibar na Bara? Wanahoji kitu gani?"
Dar? Dsm ina wakazi Mil 5+ wakati zanzibar ina watu 1.8M na hapo 500k wanatoka pemba ambayo haijawahi kukipigia kura fisiemuHahaha 😆!! Uzanzibari bila kua n utanganyika. Naona anajitekenya wazanzibari kwa uwingi wao hawafikii hata JIJI la DAR.
Kazi ni kipimo cha utu
Ndio ukomo wa kikatiba. TZ haina historia ya kuzidisha muda, ila ngoja tusubiriUnajuaje kama 2030 atatoka ?
Mkuu waliopo mamlakani ni ngumu kufa! Au hafiki kivipi!?Hafiki 2030 huyu mbwa na chama chake
Na akina Jussa walipiga makofi!Huyu mama si muislam, hamuogopi hata mwenyezi mungu kusema uongo, wazanzibar milioni mioja wanaweza kufikisha asilimia 97 Tanzania wakimpigia kura wote!
Wakikuwahi utaponaSWALI chonganishi wazanzibar hawakunyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi kujificha uvunguni MWA kitanda.
ILA watanganyika walinyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi majumbani mwao sebureni? (R.I.P) Master Tendwa.)
Je watanganyika waliuwa au walinyakuliwa ?
Ukimaliza kusoma hapo juu, imba wimbo wa " waliokoka, watakuwa wameisha nyakuliwa, kwenda kumlaki Bwana Yessu mawinguni" imba kwa sauti je watanganyika walinyakuliwa?
Baba yako walimchwlewa poleWakikuwahi utapona
Nipo na mama yako anaifinyia kwa ndaniBaba yako walimchwlewa pole
Govi lafinyiwa ndani si utajijambia wewe hivi waliisha kuamisha au Bado wapigwa miti na mwajili wako ukiwa hapo hapo?!Nipo na mama yako anaifinyia kwa ndani
Come on babe mtoto mzuri acha midekoGovi lafinyiwa ndani si utajijambia wewe hivi waliisha kuamisha au Bado wapigwa miti na mwajili wako ukiwa hapo hapo?!
Kweli Watanganyika tumekamatika! 🙆Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya Wazanzibari wote.
"Nataka niwaambie ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu kwa Zanzibar, Wazanzibari wote tulishikana. Na ndio maana ilipandisha asilimia 97 ambayo leo wale wasiotutakia heri wanaihoji."
"Sasa wakihoji mimi nawauliza, hamkuona kampeni zilivyokwenda? Hamkuona kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa Zanzibar na Bara? Wanahoji kitu gani?"