PostGE2025 Rais Samia: Wazanzibar wote tulishikana katika Uchaguzi, ndio maana ikapandisha ushindi hadi 97%

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nina tatizo kidogo na hesabu, naomba nifahamishwe

Wazanzibar kwa ujumla ni 1.8 Milioni. Wote wakipiga kura pamoja na vitoto vichanga ni takribani 3% ya 60milion people wanawezaaje kupandisha namba hadi 97? Lakini pia kauli yake si nzuri katika nyakati hizi za Ubara na Uzanzibar!

JokaKuu
 
siku mtakuja kuelewa kwamba this is a spiritual war ndiyo mtaweza kuanza kupata ushindi na kujikomboa lkn kama mnafikiri ni sijui siasa za ccm vs chadema basi no chance of winning, muslims wako vitani against the so called "mfumo Kristo" for last 100 years na sasa wanakaribia ushindi na ndiyo maana wana arrogance kwa maana wanajua msio yajua ...
 
Mithali 28:16
Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana(Sasa kama alipata asi100 zote hizo kutekana kinatoka wapi!Wanalazimisha maliziano ya nini! Wakati Watanganyika waliwachagua kwa kishindo hicho?Hakawadanganye Wazanzibari wenziwe, Sio sisi Watanganyika,Mwaka unakatika hata kwenda mikoani kuwashukuru hao Wananchi waliompa kura,kila siku ni Zanzibar unafikiri ni Rais wa Zanzibar.
 
Kiburi si Maungwana..
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Uchovu wa siku umeishia hapa.
 
Jana si amekutana na TEC wamejichoresha mnasubiri kuaombwa msamaha
 
Huyu mama si muislam, hamuogopi hata mwenyezi mungu kusema uongo, wazanzibar milioni mioja wanaweza kufikisha asilimia 97 Tanzania wakimpigia kura wote!
 
Dah!

Samia ni Rais?
 
"Acha waisome namba eeh, watasoma namba, CCM mbele kwa mbele".
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ