PostGE2025 Rais Samia: Wazanzibar wote tulishikana katika Uchaguzi, ndio maana ikapandisha ushindi hadi 97%

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
😭😭😭😭😭Pole Sana Tanganyika.. Pole mno my beloved motherland... Sasa wanapongezana wakati sisi bado tunaomboleza😭😭😭
Mkwere ndio katuletea hili balaa.
Magufuli alichagua Hussein Mwinyi.
Sasa huyu analimong'onyoa taifa.
 
Inasikitisha sana mkuu,
Kweli watu wasiofika milioni wafanye kura zaidi ya milioni 30 zilete 97%. Nimechoka sana!

..ACT-wazalendo wamegoma kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa halafu Mama Abduli anasema uchaguzi ulikwenda vizuri?

..Na kama uchaguzi wa Znz ulikuwa mzuri kwanini kuna mazungumzo ya maridhiano baina ya Ccm na ACT?

..Huyu Mama nadhani awe anaandikiwa hotuba asiachwe akazungumza mawazo yake.
 
Unajua inawezekana kabisa Samia anaamini haya?
 
Kwa statistics zipi? Hata wanzanzibar wote( including watoto wachanga) wapige kura mara 3 kwa kujirudia hawakupi ushindi wa 97%
 
Kwa statistics zipi? Hata wanzanzibar wote( including watoto wachanga) wapige kura mara 3 kwa kujirudia hawakupi ushindi wa 97%
Zanzibar inazidiwa population na geita tu hapo huyu mama anashida ya akili si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…